Mapenzi na watu wazima wanaojitambua ni matamu sana

Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....

Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....

1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,

2. Hawataki makuu wao wanachotaka ni kupetiwa petiwa tu na mtu anayewatii

3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.

4. Wengi wao kulingana na uzoefu wao na umri wako connected sana hivyo basi kama mamiloo au babaloo akili na elimu ipo basi atawini bingo kwa kutafutiwa fursa mbalimbali.

5. Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.

6. Wengi wao sio waongo waongo na wenye hila za hapa na pale.

7. Kama Na wewe unasapoti mapenzi na watu wazima ongezea point.

Inawezekana awe mtu mzima single kwa sababu fulani fulani au aliyeoa.

Wanaume na wanawake watu wazima wote mnaojitambua mlioko JF shikamooni na muwe na nafasi yenu maalumu huko peponi. Amina.
Safi sanaa

Mimi na wife tuko safi sana

Yaani ni maendeleo tuu hapa wala hizi habari sijui .

Sijui kukunjanaa hadi sijui huku hakuna

Watoto wanaendeleaje shule

Ule mradi ukojee nini kimeshort

Sijui kagua simu huku hatuna hizo biashara.

Ujengewe Sanamu karibu na Ikulu yaa DDM

na pale Posta mnara wa askari

Umetuheshimisha sanaaa
 
👏👏👏
 
Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....

Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....

1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,

2. Hawataki makuu wao wanachotaka ni kupetiwa petiwa tu na mtu anayewatii

3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.

4. Wengi wao kulingana na uzoefu wao na umri wako connected sana hivyo basi kama mamiloo au babaloo akili na elimu ipo basi atawini bingo kwa kutafutiwa fursa mbalimbali.

5. Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.

6. Wengi wao sio waongo waongo na wenye hila za hapa na pale.

7. Kama Na wewe unasapoti mapenzi na watu wazima ongezea point.

Inawezekana awe mtu mzima single kwa sababu fulani fulani au aliyeoa.

Wanaume na wanawake watu wazima wote mnaojitambua mlioko JF shikamooni na muwe na nafasi yenu maalumu huko peponi. Amina.
Jamani naelewana na majimama, napenda mishangazi, ni waelewa hawana usumbufu na vijitamaa vya pesa, na Wana mishepu ya kuvunja Chaga.
 
Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....

Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....

1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,

2. Hawataki makuu wao wanachotaka ni kupetiwa petiwa tu na mtu anayewatii

3. Wako kwenye consumption stage (stage ya mwisho ya maendeleo as per rostow's stages) hivyo hawana usumbufu wa kukopa kopa au kuomba omba hela...sana sana wao ndo wanawaza kufanya makubwa kwa partners wao. Hivyo ni win win situation. Pia utaenjoy mapenzi kwakuwa hela ipo ni wewe tu na muda wako.

4. Wengi wao kulingana na uzoefu wao na umri wako connected sana hivyo basi kama mamiloo au babaloo akili na elimu ipo basi atawini bingo kwa kutafutiwa fursa mbalimbali.

5. Kwenye utelezi hawafanyi kwa kukomoa kwakuwa wao tayari nguvu zilishapungua so hakuna zile mambo za kufanya kama tupo kwenye mashindano ila pre-game ndo makeke mengi yawepo.

6. Wengi wao sio waongo waongo na wenye hila za hapa na pale.

7. Kama Na wewe unasapoti mapenzi na watu wazima ongezea point.

Inawezekana awe mtu mzima single kwa sababu fulani fulani au aliyeoa.

Wanaume na wanawake watu wazima wote mnaojitambua mlioko JF shikamooni na muwe na nafasi yenu maalumu huko peponi. Amina.
Umepata point tatu kama bao la arsenal la jana jioni kabisa duh ❤️❤️❤️🙏🙏🙏
 
Bahili huyo hataki kutuma vocha ndo maana anahangaika na mashangazi...
Ngoja nimpatie mbinu...akiona mwanamama anahangaika na mizigo kwenye shopping ajifanye mwema amsaidie...Akiona mmama au mdada amepata break down ajifanye mwema amsaidie....yani In short awe na sympathy na wamama wale wanaojitambua na wasio na njaa...
Sisi wanawake huwa tunapenda kuhurumiwa sana na mwisho wa siku atatunukiwa na ndo mwanzo wa mambo

Nalifanyia kazi hilo
 
Hii imekaa kiupande m'moja sana, kuna upande wa uharibifu hapa haujaongelea.
Ni kama vile GOOGLE.COM ilivyo, inakupa vile unavyotaka. Ukiandika faida za pombe mwilini inakupa faida hizo tu pasipo kukupa hasara za pombe mwilini. Ukitaka hasara basi unaandika, hasara za pombe mwilini.
 
Izo ni tabia za mtu mzima unaweza kukuta kijana yuko early 20's ila anajitambua ..
Utasamaje na wazee wako later ages 45- 50 lakini bado Wana utoto wengine unasikia wamebaka .

Ishu ni kuwa na akili za kujitambua maana hata wajinga wanazeeka kuwa makini ..Kuna vijana si wakiume wala wa kike wanajitambua mapema ila ni wachache sana ..
 
To be specific me nalenga wa above 50 japo nao sio wote ndo maana nimeweka wanaojitambua
 
Context uliyochukulia ni nzuri maana wengi katika age iyo washapoa na wametulia ,ila wapo wenye tabia izo hata vijana wa 30's .

Bahati mbaya wale malecturers walikamatwa kwa kesi za rushwa ya ngono wote wako 55 -60 .
 
Back
Top Bottom