Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter


Namba yake tafadhali!
 
Hii Tecno imekosea kutype au imeibiwa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani Kuna sehem nimesema mwanamke atoe kwa ulazima?

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Ofcourse mnachojadili hapa tangu mwanzo wa mada ni kuwa mwanamke naye awe anatoa pesa kana kwamba ni jukumu lake! Maana lisingekuwa jukumu lake msingesisitiza hivi na ndiyo maana wasipotoa mnajilalamisha!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mtu mbadi sana. Ila mapenzi hayajakukolea. Penye nia pana njia. Ukiweka nia utaiona njia hakika
 
Oohh kwahiyo point yako unataka mwanamke akuhudumie ila wewe usimhudumie? Au mimi ndiyo sijaelewa?
Kama anaweza kujihudumia kwanini umuhudumie?Mwanamke ana hela yake anaenda saluni, anafanya mambo yake akikwama unampiga tafu, nawe ukikwama anakupiga tafu...mimi vizinga huwa sichangii hata kumi, unakuta mtu anajiweza bado anapiga vizinga...
 
Teh teh! Hizi personal attacks tulishaziachaga kitambo humu mkuu zimepitwa na wakati!

Kwa sababu huwa mnazifanya pale ambapo mmeguswa pabaya hadi mnashindwa kujibu kwa hoja mnaamua kutumia mihemko! Kunywa maji upumzike kidogo boss hii mada huiwezi!
 
Oohh basi na mwanamke anatakiwa aachwe siku akifurahishwa ndiyo atoe hela kwa mwanaume wake! Na siyo eti alazimishwe!
Ni sawa tu sababu wanawake hamlingani ila wapo wenzio ambao wanatoa bila kujali watapikiwa au lah.
 
Duuuuuh. Mzee umeacha lakini unasend all wrath from hell?
 
Wewe unauwezo wa kuhudumia familia?!
Kwanza hapo ulipo unaishi na nani tuanzie hapo maana usibishane na mimi kumbe umemaliza form 6 juzi upo kwa wazazi au unaishi kwa dada au kaka....
Yes mimi nina uwezo wa kuhudumia familia na nimeshuhudia familia nyingi ambazo wanawake ndiyo wanahudumia familia ilihali wanaume wapo wapo tu! Hivi hizi personal attacks bado hamjaziachaga tu jamani?
 
Kuna namna kama nakuelewa hiviiiiii. Ila twende taratibu sasa.
Huyo mwanaume kuna namna hajapatiwa attention vizuri.
 
Nsamehe mpenzi ni hasira..... Ndio muwe mnawachana live mkiona wenzenu wanawazingua wanaume zao kwa sababu za kipuuzi, matokeo ndio hivi tukizinguliwa tunakuja kuwa bitter men full of vengeance but its nothing personal. Ni hasira tu....
Jifunze kuachilia, jifunze kusamehe. Mwisho wa siku uchungu unakuumiza wewe zaidi kuliko hata hao uliowabeba moyoni kwa chuki kubwa. Wakati wewe unaiharibu familia yako kwa nguvu zote kisa uchungu; hao kina Jack waliokuumiza maybe ndoa zao zinawaendea vizuri tu na walishakusahau kabisa. Upe moyo wako amani; uchungu utaondoa utu wako na kukufanya uwe mnyama; and there is no reward for that. Usiharibu maisha yako kwa sababu ya mtu aliyekuumiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…