Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mi bhanaaa kuna moja kanipenda Sanaa.
Ila sasa huyu dada alikuwa na pesa Sana na ukweli alikuwa anamwili mzuri ispokuwa alikuwa kujichubua.

Ndinga nzuri tuu haria yake maskini tako la nyani basi mwanaume Nika Naswa na dada huyu.Japo ki ukweli Moyoni hata hakuwepo wala niniii.Ila maisha mazuri pesa yake Gari yake Mzee Baba nikawa Mario ki ukwelii.Dada akawa anafunguka Sana Shida zake Ila Mimi na mchora tuu.

Ila sasa Mimi kila nikimuoneshea sign kama simuelewi anatumia pesa nyingi kama kunifanya nimpende basi mwanaume ikanibidi niwe mpole niendelee Kula mzigo na Haria metallic colour kuzunguka nayo town huku bi mama anaanda chapati na Supu ya kuku wa kienyeji bhana.

Ila nashukuru Mungu kutoka kwenye huu mtego maana bi dada alikuwa anakaba mpaka kero alafu ukimcheki viwango hanaa.Halipi lakini hiyo ela ndo ilikuwa inanizuzuaa bhanaa dah.

Yaan akitoka Job hataki nikae mbali nae nlipata taabu [emoji23][emoji23][emoji23]

Ila dah afadhali maisha ya Umario ya Kisengerema sanaaa.

Namba yake tafadhali!
 
Najua kupika vizuri tu na usafi najua kufanya ... Ila inshu ya kusema kua hzo shughuli nitakua nafanya jibu Ni kwamba nitafanya pale nitakapo jiskia kufanya tu..! lakin sio kwamba nitafanya Kama majukumu Yangu ya kila siku ndani ya nyumba ..!

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Hii Tecno imekosea kutype au imeibiwa? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwani Kuna sehem nimesema mwanamke atoe kwa ulazima?

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Ofcourse mnachojadili hapa tangu mwanzo wa mada ni kuwa mwanamke naye awe anatoa pesa kana kwamba ni jukumu lake! Maana lisingekuwa jukumu lake msingesisitiza hivi na ndiyo maana wasipotoa mnajilalamisha!
 
Ni kama tu ambavyo mwanamke kumpikia na kumfulia mwanaume wake ni halali ila mwanaume kumpikia na kumfulia mwanamke wake ni kosa! How does that sound?

Halafu kumbukeni mliambiwa mle kwa jasho! Hivi hilo andiko kwanini mnajifanyaga hamlioni lakini lile la kumtawala mwanamke mnaliona wakati yameandikwa kwenye ukurasa mmoja?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we mtu mbadi sana. Ila mapenzi hayajakukolea. Penye nia pana njia. Ukiweka nia utaiona njia hakika
 
Oohh kwahiyo point yako unataka mwanamke akuhudumie ila wewe usimhudumie? Au mimi ndiyo sijaelewa?
Kama anaweza kujihudumia kwanini umuhudumie?Mwanamke ana hela yake anaenda saluni, anafanya mambo yake akikwama unampiga tafu, nawe ukikwama anakupiga tafu...mimi vizinga huwa sichangii hata kumi, unakuta mtu anajiweza bado anapiga vizinga...
 
Karma wewe inaonekana Ni selfish,una roho mbaya ,gubu,visilani ...Ni mtu unataka ligi kwa issue ndogo ,Ni mgum wa kuomba msahamaha ,kila kitu upo sahihi
Na inaonekana Usha umizwa Sana au umeachika ..

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Teh teh! Hizi personal attacks tulishaziachaga kitambo humu mkuu zimepitwa na wakati!

Kwa sababu huwa mnazifanya pale ambapo mmeguswa pabaya hadi mnashindwa kujibu kwa hoja mnaamua kutumia mihemko! Kunywa maji upumzike kidogo boss hii mada huiwezi!
 
Oohh basi na mwanamke anatakiwa aachwe siku akifurahishwa ndiyo atoe hela kwa mwanaume wake! Na siyo eti alazimishwe!
Ni sawa tu sababu wanawake hamlingani ila wapo wenzio ambao wanatoa bila kujali watapikiwa au lah.
 
Niliamua kuwa mpole tu maana ukishindana na nguruwe kwenye tope yeye anafurahia wakati wewe unachafuka..... Nikakausha tu aishi maisha anayo ya entertain. But nasfini namuombea mabalaa yote sababu mimi sipendagi unafiki na sijawahi Kuchezea mtoto wa mtu...... So huyu nimemkunjia roho na najua ipo siku yatamkuta ya dunia atanikumbuka mbwa yule....
Duuuuuh. Mzee umeacha lakini unasend all wrath from hell?
 
Wewe unauwezo wa kuhudumia familia?!
Kwanza hapo ulipo unaishi na nani tuanzie hapo maana usibishane na mimi kumbe umemaliza form 6 juzi upo kwa wazazi au unaishi kwa dada au kaka....
Yes mimi nina uwezo wa kuhudumia familia na nimeshuhudia familia nyingi ambazo wanawake ndiyo wanahudumia familia ilihali wanaume wapo wapo tu! Hivi hizi personal attacks bado hamjaziachaga tu jamani?
 
Kitu kama haujawahi kukiona au kukisikia haimaanishi kuwa hakipo! Siwezi kuongea au kuandika haya from nowhere tu uliza uambiwe au tembea ujionee mwenyewe kuliko kukaa hapo kupinga kila kitu!

Kuna wanaume hawahudumii wapenzi au wake zao lakini bado kupikiwa na kufuliwa wanataka! Na bado kuchepuka wanachepuka wanakuambia hawatosheki na mwanamke mmoja!
Kuna namna kama nakuelewa hiviiiiii. Ila twende taratibu sasa.
Huyo mwanaume kuna namna hajapatiwa attention vizuri.
 
Nsamehe mpenzi ni hasira..... Ndio muwe mnawachana live mkiona wenzenu wanawazingua wanaume zao kwa sababu za kipuuzi, matokeo ndio hivi tukizinguliwa tunakuja kuwa bitter men full of vengeance but its nothing personal. Ni hasira tu....
Jifunze kuachilia, jifunze kusamehe. Mwisho wa siku uchungu unakuumiza wewe zaidi kuliko hata hao uliowabeba moyoni kwa chuki kubwa. Wakati wewe unaiharibu familia yako kwa nguvu zote kisa uchungu; hao kina Jack waliokuumiza maybe ndoa zao zinawaendea vizuri tu na walishakusahau kabisa. Upe moyo wako amani; uchungu utaondoa utu wako na kukufanya uwe mnyama; and there is no reward for that. Usiharibu maisha yako kwa sababu ya mtu aliyekuumiza.
 
Back
Top Bottom