Na mwijaku. Kwenye page za hawa jamaa mwanamke ni malaika ambaye hakosei, hasaliti, anaumizwa hisia haumizi, ananyanyaswa.......Huyu Karma atakua anamsoma Sana yule jamaa insta anajiita Idd makengo ....yule jamaa anateka akili za wanawake kibaya anawapoteza badala ya awasaidie .! Ni mjinga Sana yule jamaa ana story za kutunga Sana na si za uhalisia bonzo kabisa
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Huu sio ubinadamu kabisa. Pengine fate imeamua nikukute hapa.065664477...
Umeona eeh ndio life nililo choose na huwa happy na mahusiano, Mimi Niko ktaa ndugu yanguAisee hii mada umeielewa vyema kabisa upo wapi wkend hii nikununulie japo Guinness mbili za bardi
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]eti dishi likikaaga freshCariha anakuwaga anapoteza network ila dish likikaaga freshi mambo yanakuwaga mswano sana.
Kutoa msaada huwa natoa Sana kwa watu wengi sio mpenzi tu hata wenye uhitaji kwa kidogo nilicho jaliwa, concern yangu sipendi mtu kunipangia maisha kisa mwanaume, kila mtu abaki kwenye lane yake kwa kweliControl ya mwanaume inatakiwa kuwa pale pale, uwe nacho usiwe nacho ukiwa na mimi ujue mimi mwanaume ndio kichwa, kisha unafuatia wewe mwanamke wangu wa ubavauni, hao wanaotegemea wanawake ni 'mafala', ila haiondoi utu mwenzako akikwama basi usimsaidie kwa sababu siyo jukumu lako...hapo mapenzi yako wapi sasa ubinafsi na uchoyo wa wanawake unafanya mahusiano yanakuwa magumu sana kwa wanaume
Nyonyoma unapita kimya kimya
Akikudharau manake wewe umeshindwa kumpita. piga kimya na dhamiria ushindi moyoni !!! na ushindani uko mahali popote utakapo kwenda Duniani, Drsani, michezoni, Kazini,nk, hata uwe Rais, ma-rais wenzako wenye nazo watakudharau huko kwenye vikao vyenu!mkuu hili suala linatokana na nature ya uumbaji ndo maana mara nyingi ke akiwa provider madharau hutokea na inakua ngumu kumcontrol
Wala sina la kujifunza hapo nimeshajifunza mengi kupitia mahusiano ya watu hivyo siwezi kusubiri hadi yanikute mimi ndiyo nijifunze! Kwangu mahusiano nilishayapiga stop hata kabla sijaanza kupitia ambayo watu wengi wanayapitia hivyo hakuna kinachoweza kunibadilisha msimamo wala mtazamo wangu!Sawa baki ulivyo. Kama haukujifunza kwenu then dunia itakufunza kwa namna yake....uzuri ni kwamba nature haibishiwi. Hapa unabishana na mimi unanichosha tu akili but kuna ukweli na utabishana nao vizuri....
Woii mbona umeng'ang'ania kujitegemea? Kwa taarifa yako mimi hapa nilipo ninajitegemea na wala sijaanza jana wala juzi!Ukianza kujitegemea na kuanza maisha utaelewa hizo nadharia mnazojifunza huko Facebook na Instagram haziapply kwenye maisha.......
Teh teh siyo mimi my friend! Na wala siwezi kukulazimisha uamini hilo ila ukweli utabaki pale pale tu!Anahisi maisha yanafanyika kwenye wonderland? Af hawa wa hivi unakuta chuo alikuwaga mke wa mtu ila humu anatukazia
Kwani mwanamke ni kipi kinachomzuia kufanya hivyo? By the way kwani hiyo siyo logic mnayoitumia sasa hivi au mnataka kusema sasa hivi ninyi mko na mwanamke mmoja mmoja tu?Tukitoa maandiko logic ya mwanaume inamwambia kulala na kuzaa na mwanamke yoyote anaevutiwa nae.....
So,unataka tutumie logic ya kiume au?!
Kazi ya kupenda ni ya mwanaume tuu, mwanamke ni kutii.Hahahah ni kweli ila huyo mke ni selfish wa kiwango cha SGR [emoji23][emoji23][emoji23] hakupendi mkuu. Amini kwamba.
Kwahiyo mfano mimi nikikuambia naishi kwa wazazi ndiyo itabadilisha ukweli wa ninachokisema? Mimi siko kama wewe bro huwa sisubiri eti kitu hadi kinikute ndiyo nikiamini mmi siyo tomaso huwa naanza kujifunza kupitia makosa ya watu wengine!Wewe sasa unaishi vipi ndio napenda kujua.... Mbona una preach ambacho haupractice?!
Mnachofanya ni kuukimbia ukweli! Na hiki ndicho nilichojifunza tangu najiunga JF tunapojadili mada kama hizi huwa mnataka kusikia yale ambayo yatawafurahisha masikio yenu tu hamtaki kuambiwa ukweli kwa sababu mnajua ukweli ni mchungu na unauma!Hii sio lengo la mada, unapotosha mada kwa makusudi! Turudie kwenye lengo.
Duuh! N wapi paliposema mwanaume naye kaumbwa kupokea?Mbona makofi hampokei [emoji23][emoji23][emoji23] mnajifanya kukimbilia kwa joyce Kiria.
Kila mtu kaumbiwa kupokea inategemea na wakati gani
Kwa taarifa yako sifuatiliagi hizo hadithi zenu za huko instagram sijui facebook maana hao nao ni wale wale tu! Mimi najifunza kutokana na mahusiano ya watu wanaonizunguka ambayo nayashuhudia kwa macho yangu siyo hayo ya kwenye maandishi!Huyu Karma atakua anamsoma Sana yule jamaa insta anajiita Idd makengo ....yule jamaa anateka akili za wanawake kibaya anawapoteza badala ya awasaidie .! Ni mjinga Sana yule jamaa ana story za kutunga Sana na si za uhalisia bonzo kabisa
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Na hapo ndio mnapokosea! Kulazimisha mitazamo ya jamii kuwa uhalisia!Wenzake walipokuwa shule walisema "education is better than money" na walikuwa na hoja nzito kabisa kutetea hiyo ajenda yao, sasa akawaulize bado wana maoni yale yale?!