Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Eti kwenye hsrusi wao kutoa saa ya buku 3 na tuviatu twa elfu 70, wanaona ndo zawadi ya wewe kumchangua kati ya mamilioni ya wanawake.
 
Ningeshangaa sana kama usingemtaja relationship coach
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka hapo kwenye kuputa mkono
 
Kitu kingine naweza mpongeza baba mkwe kwa kuwa alipata a wife indeed! Hayo mambo uliyosema yanawezekana kufanyika ila kwa mabinti wa kanda maalum.

Ukiyafanya Buza, Mbagala na Temeke,Gomz matokeo yanaweza yasiwe chanya.
Kelele mtaa mzima, Ooh i made you Kevin πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ and I gave him everything
 
Sasa mbona unahangaika na kujibu si uishi sasa hayo maneno unayotuambia.....

Unakuwa na biti kali kama wale dogi koko wanaolilia kwenye geti ukiinama tu kuokota jiwe wanatoka baruti.
 
naongeza sauti kidogo, ela ya mwanamke ni ya kwake ila ya mwanaume ni ya wote
 
hahahaha
 
Sema nini mmetukamia sana na tuboksa boksa, vest, mikanda na socks πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
Heheheh tuboksa twa buku3 na tuvesti bila kusahau tusoxi twa buku! Hapo wewe umetoka kupewa iPhone ya Mil.3.5 hapo ukapokea bila chembe ya aibu.
 
Haah
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka hapo kwenye kuputa mkono
Hahah unasikia mi sina bby,,,huku kenyewe kanachekaga tu na kuchanua mikono kama vibawa ya popo kakipokea kiinua mgongo cha week nzima.
 
Hapa ndio wanaume wanafilisika, na umasikini kwa % kubwa huanzia hapa, mwanamke lazima atoe budget ya familia kama ameolea na wajadili kama hio budget inawezekana ( hapa wanawake hawataki kabisa kutoa budget kwani ndio sehemu wanaibia, mwanaume akifuatilia matumizi basi wanawake wazidisha matumizi kwa kutumia vitu rafu na kuharibu ili ionekane matumizi ni makubwa), kama ni friends lazima kila mtu abebe gharama zake za maisha yake na yeyote mwenye kuhitaji msaada aombe na isiwe ni mazoea ( hawa wanawake watesema hawapendwi au mwanaume hana pesa au bahili na watakimbia) % kubwa ya wanaume wanauwezo wa kufanikiwa kipesa kama ataweza kuwakwepa hawa predators
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…