Unajua hawa watu hutofautiana kwa malezi mkuu, kuna ambao wana roho safi (roho za kitajiri) na wengine wana roho za kwanini(roho za kimaskini).
If you come across a person with a rich heart na ambaye amelelewa vyema huwezi pata nae shida. Kuna watu wako more giving and trust me you need this kind of energy kufika peponi. Ukiwa na energy ya kujitoa pia hakika mapenzi yatakuwa ni mahali salama sana kwako.
Shida inayotukumba tunajitoa kwa watu ambao hawako tayari kujitoa ila kutunyonya. You end up looking silly.