Ndicho nimemwambia hata mimi..... Kuwa wao wanaona shida wapi kumsaidia mwanaume wake. Ni ubinafsi wa kisaikolojia tu huo hauna uhusiano na imani wala jamiiNdio ubinafsi wenyewe, sasa kama mpenzi wako ana uhitaji na una uwezo wa kumpiga jeki ila hufanyi hivyo ila unaacha ateseke utajiita una upendo kweli wewe?
Ila yeye akiwa freshi wewe anakutatulia yakwako tu bila hiyana. Na ndugu zako anawasaidia pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka balaa
Kitu kama haujawahi kukiona au kukisikia haimaanishi kuwa hakipo! Siwezi kuongea au kuandika haya from nowhere tu uliza uambiwe au tembea ujionee mwenyewe kuliko kukaa hapo kupinga kila kitu!Sijawahi kukutana na mwanaume ambae anaishi na mwanamke anamfulia na kumpikia na kumsaidia usafi kipindi wakiwa wachumba na huyo mwanaume asiwe anamsaidia binti pesa za mahitaji yake...... Wewe unataka kutuchanganyia mafaili hapa.....
Nyingine ananunulia wigi au vijora [emoji23][emoji23]
Mi mbona nampikia mke wangu at occassions. Hilo sio kosa per se ila linakuwa tatizo endapo utanyoosha miguu full time ukitegemea niingie jikoni kukupikia eti kwa sababu umechangia ada ya watoto. 😂😂😂😂😂Ni kama tu ambavyo mwanamke kumpikia na kumfulia mwanaume wake ni halali ila mwanaume kumpikia na kumfulia mwanamke wake ni kosa! How does that sound?
Halafu kumbukeni mliambiwa mle kwa jasho! Hivi hilo andiko kwanini mnajifanyaga hamlioni lakini lile la kumtawala mwanamke mnaliona wakati yameandikwa kwenye ukurasa mmoja?
Hao wanaume waache njoo kwangu haraka, mie sichepukagi napoona kuna upendo wa kweliKitu kama haujawahi kukiona au kukisikia haimaanishi kuwa hakipo! Siwezi kuongea au kuandika haya from nowhere tu uliza uambiwe au tembea ujionee mwenyewe kuliko kukaa hapo kupinga kila kitu!
Kuna wanaume hawahudumii wapenzi au wake zao lakini bado kupikiwa na kufuliwa wanataka! Na bado kuchepuka wanachepuka wanakuambia hawatosheki na mwanamke mmoja!
Kuwatawala inakuja kutokana na mazingira mnayotengeza na wanaume.Oohh kwahiyo kumtawala mwanamke tu ndicho mnachoona ni asili ila kula kwa jasho lenu imeshakuwa siyo asili tena? Shame on you people!
Swali langu haujanijibu umesema mwenyewe hapo mapenzi ni two way traffic hivyo tunahitaji kusaidiana! Tena wewe ambavyo hautaki hata kusikia kuhusu ishu za kupika na kuosha vyombo ila unataka eti mwanamke akupe pesa zake kwa sababu na wewe huwa unampa zako vipi na yeye akisema uwe unampikia na unamfulia kwa sababu na yeye huwa anakupikia na anakufulia?Ndio ubinafsi wenyewe, sasa kama mpenzi wako ana uhitaji na una uwezo wa kumpiga jeki ila hufanyi hivyo ila unaacha ateseke utajiita una upendo kweli wewe?
Ila yeye akiwa freshi wewe anakutatulia yakwako tu bila hiyana. Na ndugu zako anawasaidia pia.
Hahahah mkuu sio kwa wanawake wote. Amini kwamba!Extrovert mkuu naona umeanzia uzi kabisaa mada ya Chizi Maarifa......
Trust me yule mhenga aliyesema kama unapokea mshahara 100k na mkeo naye anapokea 100k ndani ya nyumba mna 100k hakuwa mjinga alifikiria sanaa.....
Ni kosa kwa sababu mmeambiwa MTAKULA KWA JASHO LENU! Is that not clear to you?Usitutoe kwenye reli, rudi kwenye mada! Why mwanamke ku act responsibly kwa mume wake hasa kumpiga jeki kiuchumi inakuwa kosa?
Nafikiri nimekujibu! Uliza kingine!Wanaume kuhudumia ni norm! Ila inapotokea mwanamke ana uwezo zaidi akaamua kwenda extra mile. Walimwengu huwa wanaongea sana na kulalama kana kwamb mwanamke kwenda extra mile ni dhambi! Je, kwanini tunakuwa hivyo?
Oohh sasa kwanini na wanawake msiwaache watoe hela zao pale wanapojisilkia kutoa tu? Maana hata wao siyo majukumu yao ndani ya nyumba eti!Najua kupika vizuri tu na usafi najua kufanya ... Ila inshu ya kusema kua hzo shughuli nitakua nafanya jibu Ni kwamba nitafanya pale nitakapo jiskia kufanya tu..! lakin sio kwamba nitafanya Kama majukumu Yangu ya kila siku ndani ya nyumba ..!
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Kupika utapikiwa occassionally, siku umenifurahisha naamua leo nakupikia mke wangu. Thats it!Swali langu haujanijibu umesema mwenyewe hapo mapenzi ni two way traffic hivyo tunahitaji kusaidiana! Tena wewe ambavyo hautaki hata kusikia kuhusu ishu za kupika na kuosha vyombo ila unataka eti mwanamke akupe pesa zake kwa sababu na wewe huwa unampa zako vipi na yeye akisema uwe unampikia na unamfulia kwa sababu na yeye huwa anakupikia na anakufulia?
Well said bro.Mwanamke hata kama anakupenda kwa viwango vya peponi kuna siku tuu atachoka,imagine mmefunga ndoa since day one mwanamke ndio provider wa kila kitu,miaka inaenda mara paaap mwaka wa 5 wa ndoa hakuna siku mume kamtoa mke out,wakienda vaccation ni mwanamke,bills zoote ni MRS am telling you Extrovert ipo siku hiyo ndoa itakuwa shubiri tuu...
iko hivi mwanamke hata kama unalipwa 10m per month,lakini akipewa zawadi hata ya laki tuu na mumewe au mwanaume ampendae atafurahi mnoo kuliko akienda kujinunulia mwenyewe zawadi,au mume amletee zawadi kwa hela alompa yeye..
Mimi naona mwanaume asiwe too tegemezi kwa mwanamke hatokuwa huru hata siku moja,na ndio asili ya uumbaji kuwa mume kama kichwa cha familia ale kwa uchungu,unapombebesha mwanamke jukumu la kukulisha kwa jasho na kukuzalia kwa uchungu dharau jua inakukaribia.
Nimeielewa sana ila mnachofanya hapa mnakimbia mzizi wa tatizo! Hamtaki kujua chanzo cha haya mnayojiuliza mnataka kujadili mada kienyejienyeji tu!Majukumu mengine Kama yapi? Afu hii mada hujaielewa ebu soma vizuri mkuu
Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Kwani Kuna sehem nimesema mwanamke atoe kwa ulazima?Oohh sasa kwanini na wanawake msiwaache watoe hela zao pale wanapojisilkia kutoa tu? Maana hata wao siyo majukumu yao ndani ya nyumba eti!
This is so fun,Kupika utapikiwa occassionally, siku umenifurahisha naamua leo nakupikia mke wangu. Thats it!
Sasa ile ya kunigeuza house boy wako unipikishe kila siku wakati mie ni mume tena hapo pagumu.
Wewe mumeo anatakiwa awe makini sana maana akilegea kidogo tu unamkunisha nazi walahi[emoji23]