Mwanamke hata kama anakupenda kwa viwango vya peponi kuna siku tuu atachoka,imagine mmefunga ndoa since day one mwanamke ndio provider wa kila kitu,miaka inaenda mara paaap mwaka wa 5 wa ndoa hakuna siku mume kamtoa mke out,wakienda vaccation ni mwanamke,bills zoote ni MRS am telling you
Extrovert ipo siku hiyo ndoa itakuwa shubiri tuu...
iko hivi mwanamke hata kama unalipwa 10m per month,lakini akipewa zawadi hata ya laki tuu na mumewe au mwanaume ampendae atafurahi mnoo kuliko akienda kujinunulia mwenyewe zawadi,au mume amletee zawadi kwa hela alompa yeye..
Mimi naona mwanaume asiwe too tegemezi kwa mwanamke hatokuwa huru hata siku moja,na ndio asili ya uumbaji kuwa mume kama kichwa cha familia ale kwa uchungu,unapombebesha mwanamke jukumu la kukulisha kwa jasho na kukuzalia kwa uchungu dharau jua inakukaribia.