Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mtu kishajiita Mother Confessor ,
Anakuaje Bro tena, [emoji848]
 
Karma we unanifurahishaga kweli ukifikaga kwenye point ya kung'ang'ania kidume akaoshe vyombo na kupiga deki. Sasa si uajiri houseboy umlipe tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndiyo mabadiliko ya dunia tunayoyaongelea hayo maana siku hizi si tumeamua kuingiliana majukumu? Sasa iweje wanaume mnataka kusaidiwa majukumu yenu tu ila wenzenu hamtaki kuwasaidia majukumu yao?

Si unaona linapokuja kwenye suala la kufanya kazi za ndani mnavyokuwa wakali? Na ninyi si muajiri mahousegirl muwe mnawalipa tu?
 
Mkuu ukifanya hivyo utakuwa haujatofautiana na shetani kabisa. Ushawaza kwa bahati nzuri ikatokea mwanamke huyo huyo ukazaa nae na yule mtoto wako akakua akijua huyo binti ni dada ake bado utakuwa na mawazo hayo hayo ya kifedhuli?
Utajipalia laana kwa watoto wako maana wazungu wanasema "Karma is a bitch"
It will come back to you in a good measure.

Usiwaze kishetani hivyo kaka. Wanawake wamejaa huku duniani hamna ulazima wa kufanya hivyo
 
Mkuu usibishane na order of nature mwanaume pambana....
 
jamaniii bro tenaaa,..unataka nikose nini hapa jukwaani??
 
Nimeielewa sana ila mnachofanya hapa mnakimbia mzizi wa tatizo! Hamtaki kujua chanzo cha haya mnayojiuliza mnataka kujadili mada kienyejienyeji tu!
Karma wewe inaonekana Ni selfish,una roho mbaya ,gubu,visilani ...Ni mtu unataka ligi kwa issue ndogo ,Ni mgum wa kuomba msahamaha ,kila kitu upo sahihi
Na inaonekana Usha umizwa Sana au umeachika ..

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Nikiri tena tu kuwa sijawahi kukutana na sehemu yenye wanawake wa hovyo kama Dar! Japo wapo wanaojielewa ila majority ni liability!

On top of outing na mazaga yote still atataka ukimchila umpe na hela ya kujikim na nauli.[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukahaba wa kisasa katika kivuli cha mahusiano...... Dar kuna magold digger wapuuzi sana halafu njaa.
 
Oohh kwahiyo kwenye andiko la mwanaume kula kwa jasho ndipo mnapotaka tutumie contingency theory? Ila kwenye andiko la mwanaume kumtawala mwanamke ndiyo tuende kama biblia inavyotaka?
 
Maumivu ndugu yangu, kifua kimejazwa maumivu na hawa viumbe ndio maana nikikisikia wakorofi huwa nawaza kuwakomoa tu.
 
Acha tuu yaan hata nikitoka nataka bia inapigwa simu zinaletwa na boda boda home.

Dah Una Kula Mzigo lakin huna morali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…