Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Acha uoga mkuu, stand like a man. Kila kitu kitakaa katika pattern. Ukiwa na sauti hata kama una 200 mwanamke ana 500 utamtuliza vizuri tu.
Ngoja nimutafute.. nikimupata mrejesho nitaleta ila kuna mawili afe beki au kipa..😂
 
Na ninaogopa sana mtu wa hivyo, kuna siku alisema nataka nije kuwa na kwangu nijenge nyumba yangu peke yangu nikamuangalia tu akaendelea kusema nije kuwa na watoto wangu nikamuuliza hao watoto atawanya kama anakuwa na ubinafsi kiasi hicho? Apo kidogo akatulia kimya ila malezi ya mzazi mmoja yanachangia sana hawa dada zetu kuwa na ubinafsi hasa kama kalelewa na mama ambae ameachika.
Pole sana Mkuu. Nadhani bado unamsaidia kisaikolojia maana anaweza kumpata mtu ambae akashindwa kumsoma vizuri kama wewe ulivyoweza halafu mwana akajikuta katumbukia kwenye tundu la kisoro ajilaumu. Mwisho wake huyo dada ajikute anaingia kwenye same cycle aliyoingia mama ake mzazi. Huwa wanabeba hizo chuki kwa vizazi vyao. Tena kama huyo akikutwa na same situation kama ya mama ake atamlisha sumu sana mwanae
 
Mwanaume kumuogopa Mwanamke mwenye kipato ukidhani kua atakudharau huo Ni udhaifu hujiamin kabisa.
Mapenzi ya kibongo fanya uwezavyo acha Mwanamke akupende Sana Mwanaume.. sio Mwanaume umpende Mwanamke Sana utaishia kilio ..!

Jiulize kwa nn Mwanaume anaejikutaga anajua ku care Sana yani mwanamke asitake nn lazima apewe hao wanaume wanaishiaga vilio na usaliti mkubwa plus kujinyoga juu?

Ukiwa na Mwanamke yeye anachoweza ku offer kwako Ni kupanua mapaja tuu ohhh wafwaa....!
Mapenzi Ni two ways traffic yani mpeane ..!
Siwezi ku date mwanamke omba omba..! Siwezi date mwanamke aliyejiwekea fikira kwamba Mwanaume Ni provider wa kila kitu dunia hii..!
Siwezi ku date mwanamke fukara na maskin kwa sababu Hawa watapoteza nyota yako na badala ya upige hatua kwenda mbele utakua unapiga reverse tu ..matatizo ya familia yake atakuletea wewe bado na yeye ana shida zake ...binti mko kwenye mahusiano wiki mbili utaskia mama kalazwa mara mdogo wangu kafukuzwa shule ...! Ajabu li mwanamke Kama hili unalisaidia badae linakusaliti..!
Siwezi kumuogopa Mwanamke kisa kanizid kipato as long as najua Mimi Ni Mwanaume na sio Marioo ataishi chin Yangu nikiongea lazima ajue kua Mwanaume ameongea.Na lazima tupeane mapenzi Safi kabisa bila upande wowote kuumia

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Tehe tehe tehe
 
Mengine yote umeeleza na ujafafanua vizuri sana.
Na paragraph ya mwisho iliokaa kwa mtindo wa swali, jibu lake lipo wazi kwenye Bible na Quran zimeelezea kwa uwazi kabisa majukumu na wajibu wa Mke kwa Mume wake na Mume kwa Mke wake
Hilo ndio kimbilio lenu wanyonge msiotaka kuangalia hali halisi ya kidunia ya leo ambapo haki sawa imetamalaki.

Ukisoma kwa makini utaelewa maana vitu viko wazi kabisa mkuu!
 
Dar kuna shida kubwa hili eneo. Wanawake wengi wadangaji hawana shughuli wala kazi maalumu za kujiingizia vipato. Hawa ndo wale ukikutana nao wataanza kulist matatizo yao lukuki kabla hujaweka ajenda yako mezani.
Wa namna hii akikuomba hela kama anataka elfu 20 atakwambia ntumie na ya kutolea.
Kuna wakati unawaonea huruma kwa kweli. Unatuma tu kisha unakuwa ushajua una deal na mtu wa namna gani
Na wa hvo ukitaka muonane wabaya muulize "kwani hyo K unaniuzia" aisee utakoma lakin ki ukweli huyo anakua Ni Malaya tu Kama wengine japo anafanya umalaya indirect ways ...Mimi wa hvo unamchakata namlipa afu tusijuane nitakutafta nikihitaji huduma tena

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Ndo maana kipindi cha mahusiano ni wakati mzuri Sana wa kusomana tabia zenu kabla hamjaingia ndoani. Mi nadhani kudate zaidi ya miaka miwili ni afya sana.
True kwa miaka hii. Ingawa watu husema kuwa mtu akidate muda mrefu sio poa ila me nasema inasaidia sana katika ku reveal character na mienendo ya mtu aliyonayo, wengi huwa hawawezi kufake muda mrefu.
 
Ni kama tu ambavyo mwanamke kumpikia na kumfulia mwanaume wake ni halali ila mwanaume kumpikia na kumfulia mwanamke wake ni kosa! How does that sound?

Halafu kumbukeni mliambiwa mle kwa jasho! Hivi hilo andiko kwanini mnajifanyaga hamlioni lakini lile la kumtawala mwanamke mnaliona wakati yameandikwa kwenye ukurasa mmoja?
 
Pole sana Mkuu. Nadhani bado unamsaidia kisaikolojia maana anaweza kumpata mtu ambae akashindwa kumsoma vizuri kama wewe ulivyoweza halafu mwana akajikuta katumbukia kwenye tundu la kisoro ajilaumu. Mwisho wake huyo dada ajikute anaingia kwenye same cycle aliyoingia mama ake mzazi. Huwa wanabeba hizo chuki kwa vizazi vyao. Tena kama huyo akikutwa na same situation kama ya mama ake atamlisha sumu sana mwanae

Sina msaada nae kwa sasa ila kwa kipindi tulichokuwa pamoja kuna mengi nilijitahidi kumshahuri akiyakumbuka yatamsaidia sana na yatamjenga na kumuepusha kuingia kwenye shimo ambalo mama yake ameshaingia na kutoka hawezi.
Nilitamani sana nimsaidie zaidi lakini siwezi kuwa na mtu ambae ananihukumu na kunitreat vibaya kwa makosa ya mtu mwingine kisa tu ni same gender. Anakosea sana na ni mtu wa stress sana mda mwingi nilimvumilia sana nikiamini kuwa hatabadilika lakini hakuna mabadiliko kwenye hilo.
 
Sawa ila urijali hauhusiani na ku provide zaidi. Urijali ni kutungisha mimba.

Mke yuko PSI ana earn 7M kwa mwezi wewe uko kwa mchina una earn 1.5M na mwanamke kakuelewa mnapendana. She spoils you with her clean heart. You go places, mnapanga strategic plans na ku execute mchango mkubwa ukitoka kwa mke. Hali ikiwa hivi walimwengu wanachukia? Why?😂😂😂?

Personally mke au mpenzi anaeweza ku spend hela yake on you anakupenda kweli because most women can't do that! Hata wewe kama unaumia hela yako ukimpa mpenzio you must be damn selfish.
Naunga mkono hoja kuwa mwanamke ukiona anatoa hela yake kwa ME kiroho safi ujuwe mapenzi yake kwako hayana ukakasi hata chembe...
 
Ni kama tu ambavyo mwanamke kumpikia na kumfulia mwanaume wake ni halali ila mwanaume kumpikia na kumfulia mwanamke wake ni kosa! How does that sound?

Halafu kumbukeni mliambiwa mle kwa jasho! Hivi hilo andiko kwanini mnajifanyaga hamlioni lakini lile la kumtawala mwanamke mnaliona wakati yameandikwa kwenye ukurasa mmoja?
Kwa hyo hata K tuile kwa jasho [emoji38]

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Sawa ila urijali hauhusiani na ku provide zaidi. Urijali ni kutungisha mimba.

Mke yuko PSI ana earn 7M kwa mwezi wewe uko kwa mchina una earn 1.5M na mwanamke kakuelewa mnapendana. She spoils you with her clean heart. You go places, mnapanga strategic plans na ku execute mchango mkubwa ukitoka kwa mke. Hali ikiwa hivi walimwengu wanachukia? Why?[emoji23][emoji23][emoji23]?

Personally mke au mpenzi anaeweza ku spend hela yake on you anakupenda kweli because most women can't do that! Hata wewe kama unaumia hela yako ukimpa mpenzio you must be damn selfish.
Tatizo jinsia yenu mkifanyiwa hayo hamnaga shukurani! Ndiyo kwanza mnatoka huko mnakuja na kauli zenu za "mwanaume hatosheki na mwanamke mmoja" basi sie tuna assume kuna wanawake wenzetu huko wanatusaidia kuhudumia hivyo tunarelax!
 
Sawa ila urijali hauhusiani na ku provide zaidi. Urijali ni kutungisha mimba.

Mke yuko PSI ana earn 7M kwa mwezi wewe uko kwa mchina una earn 1.5M na mwanamke kakuelewa mnapendana. She spoils you with her clean heart. You go places, mnapanga strategic plans na ku execute mchango mkubwa ukitoka kwa mke. Hali ikiwa hivi walimwengu wanachukia? Why?😂😂😂?

Personally mke au mpenzi anaeweza ku spend hela yake on you anakupenda kweli because most women can't do that! Hata wewe kama unaumia hela yako ukimpa mpenzio you must be damn selfish.
Ndiyo maana sipendi kutoka na mwanamke kilaza. Mtu anafanya kazi au ana hela zake kwa biashara azifanyazo lakini anataka mimi ndiyo nitumie hela zangu kumtunza yeye.....demu wa namna hii simlazii damu, namtema mara moja.
 
Kwa hii generation ukijitahidi kudate for more than 1 year na mmoja ujue umevumilia mengi sana, 2 years unaeza ukaota kipara kwa hiyo mikiki mikiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka balaa
 
[emoji23][emoji23] au anakuomba hela akakununulie zawadi
Hizi huwa zipo sana. Huwa tunatoa hela kisha tunajitoa ufahamu. Kule kwetu uswazi wanasemaga funika Kombe maisha yaendelee.
Easy life, no harm no foul
 
Unajua hawa watu hutofautiana kwa malezi mkuu, kuna ambao wana roho safi (roho za kitajiri) na wengine wana roho za kwanini(roho za kimaskini).

If you come across a person with a rich heart na ambaye amelelewa vyema huwezi pata nae shida. Kuna watu wako more giving and trust me you need this kind of energy kufika peponi. Ukiwa na energy ya kujitoa pia hakika mapenzi yatakuwa ni mahali salama sana kwako.

Shida inayotukumba tunajitoa kwa watu ambao hawako tayari kujitoa ila kutunyonya. You end up looking silly.
Jiulize kwanini hao hao wanawake mnaosema hawawapi hela wanaume zao unakuta wanawapa baadhi ya ndugu na marafiki au watu wasiojiweza tena kwa moyo mkunjufu kabisa! Instead of calling those women selfish ask yourself why!
 
Ni kama tu ambavyo mwanamke kumpikia na kumfulia mwanaume wake ni halali ila mwanaume kumpikia na kumfulia mwanamke wake ni kosa! How does that sound?

Halafu kumbukeni mliambiwa mle kwa jasho! Hivi hilo andiko kwanini mnajifanyaga hamlioni lakini lile la kumtawala mwanamke mnaliona wakati yameandikwa kwenye ukurasa mmoja?
Sijawahi kukutana na mwanaume ambae anaishi na mwanamke anamfulia na kumpikia na kumsaidia usafi kipindi wakiwa wachumba na huyo mwanaume asiwe anamsaidia binti pesa za mahitaji yake...... Wewe unataka kutuchanganyia mafaili hapa.....
 
Back
Top Bottom