Mwanaume kumuogopa Mwanamke mwenye kipato ukidhani kua atakudharau huo Ni udhaifu hujiamin kabisa.
Mapenzi ya kibongo fanya uwezavyo acha Mwanamke akupende Sana Mwanaume.. sio Mwanaume umpende Mwanamke Sana utaishia kilio ..!
Jiulize kwa nn Mwanaume anaejikutaga anajua ku care Sana yani mwanamke asitake nn lazima apewe hao wanaume wanaishiaga vilio na usaliti mkubwa plus kujinyoga juu?
Ukiwa na Mwanamke yeye anachoweza ku offer kwako Ni kupanua mapaja tuu ohhh wafwaa....!
Mapenzi Ni two ways traffic yani mpeane ..!
Siwezi ku date mwanamke omba omba..! Siwezi date mwanamke aliyejiwekea fikira kwamba Mwanaume Ni provider wa kila kitu dunia hii..!
Siwezi ku date mwanamke fukara na maskin kwa sababu Hawa watapoteza nyota yako na badala ya upige hatua kwenda mbele utakua unapiga reverse tu ..matatizo ya familia yake atakuletea wewe bado na yeye ana shida zake ...binti mko kwenye mahusiano wiki mbili utaskia mama kalazwa mara mdogo wangu kafukuzwa shule ...! Ajabu li mwanamke Kama hili unalisaidia badae linakusaliti..!
Siwezi kumuogopa Mwanamke kisa kanizid kipato as long as najua Mimi Ni Mwanaume na sio Marioo ataishi chin Yangu nikiongea lazima ajue kua Mwanaume ameongea.Na lazima tupeane mapenzi Safi kabisa bila upande wowote kuumia
Sent from my TECNO LC6 using
JamiiForums mobile app