Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Kikubwa mwanaume uwe na ela hiyo ya mkeo sio yako ni yake akiamua kukusaidia sawa ila sio sheria!ukilazimisha sana yatakukuta mambo!utatetwa left and right,up and down
 
Kuna hela ya kumpa mwanaume kawaida zile ndogo ndogo akikwama hivi.
Sio mtu anakuomba laki tatu umpatie hivi hivi 😂😂😂
 
Nature haijawai kuruhusu kitu kama hicho ndio maana jamii inakushaa......Masculinity(Alpha male) automatically hata kama ke anapesa nature itakataa kutumia pesa ya Ke!!! Sijui umenielewa

Kasome Semen retention benefits
Hahahah oa kwanza mzee, kisha uje na ngonjera zako...Mambo yakigoma hakunaga alpha wala ukwaju! Mama zetu wengi waliendesha familia kwa kipindi cha mpito wa redundancy!
 
Kuna hela ya kumpa mwanaume kawaida zile ndogo ndogo akikwama hivi.
Sio mtu anakuomba laki tatu umpatie hivi hivi 😂😂😂
Hahahah ila wewe ukiomba laki 5 upewe tu na miguu utatawanya usiku kucha?
 
Nilichogundua ni kuwa wanawake ambao wanadai kuwa hawawez kutoa hela kwa ME ni wale ambao wametoka poor family,me nimewahi kuwa na pisi mbili za kishua nimekula hela zao mpaka nikanunua viwanja viwili kipindi hicho Niko chuo,Juzi Kati pia nikapata pisi moja shombe shombe ya kiarabu,japo nilimfukuzia mwenyewe Ila hela zake nimekula japo alikua na mchumba wake tyr ambae alikua masomoni,hivo tumeachana mwaka Jana,Ila nikiwa na shida nampandia hewani.

Wanawake wote iwe katokea poor family or Rich family akiwa na pesa zake na akawa anakuelewa pesa anakupa tu Ila huwa hawapendi kujulikana kuwa wanatoa pesa kwa wanaume.

Tena niwambie kitu kimoja, Mwanamke akiamua kuhongo sisi wanaume tukasome😃😃
 
Hama
Mnachofanya ni kuukimbia ukweli! Na hiki ndicho nilichojifunza tangu najiunga JF tunapojadili mada kama hizi huwa mnataka kusikia yale ambayo yatawafurahisha masikio yenu tu hamtaki kuambiwa ukweli kwa sababu mnajua ukweli ni mchungu na unauma!
Hamna ni kwamba kinacholengwa ni kingine ila wewe umekazania mambo ambayo hayakuwa msingi wa mada ili ubishane.
 
Back
Top Bottom