Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Alafu kutoa hutaki[emoji57]Jamanii [emoji1787][emoji1787]
Hakuna watu bahili kama wanawake
Tumeumbwa kupokea tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alafu kutoa hutaki[emoji57]Jamanii [emoji1787][emoji1787]
Hakuna watu bahili kama wanawake
Tumeumbwa kupokea tu
Alafu kutoa hutaki[emoji57]
Hajawah kwama 😂😂😂Huwa unamsaidia anapokwama kama ameshawahi kukwama au ndio kila mtu anakufa na chake?
Akikwama je?Hajawah kwama [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmmh ila Bora wewee Ila wenzio mpaka wakwanguliwe uso na kucha ndo watoe[emoji23]mim natoa ila inategemea na ninavyokupenda
Nampa kabisa kiroho safiiAkikwama je?
@Karma hataki kabisa kusikia haya mambo hadi kaamua kuachana na mahusiano [emoji23]Nampa kabisa kiroho safii
Ahahahah unajua kuna ile mwanaume anakutegemea mwanamke hiyo sasa hata mim sikubali@Karma hataki kabisa kusikia haya mambo hadi kaamua kuachana na mahusiano [emoji23]
Hahahah oa kwanza mzee, kisha uje na ngonjera zako...Mambo yakigoma hakunaga alpha wala ukwaju! Mama zetu wengi waliendesha familia kwa kipindi cha mpito wa redundancy!Nature haijawai kuruhusu kitu kama hicho ndio maana jamii inakushaa......Masculinity(Alpha male) automatically hata kama ke anapesa nature itakataa kutumia pesa ya Ke!!! Sijui umenielewa
Kasome Semen retention benefits
Hahaha ndio nipewe tu hiyo pesaHahahah ila wewe ukiomba laki 5 upewe tu na miguu utatawanya usiku kucha?
Hamna ni kwamba kinacholengwa ni kingine ila wewe umekazania mambo ambayo hayakuwa msingi wa mada ili ubishane.Mnachofanya ni kuukimbia ukweli! Na hiki ndicho nilichojifunza tangu najiunga JF tunapojadili mada kama hizi huwa mnataka kusikia yale ambayo yatawafurahisha masikio yenu tu hamtaki kuambiwa ukweli kwa sababu mnajua ukweli ni mchungu na unauma!
Yaan wewe unawajua wanawake jamani [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mlikuwa hamjaoana ndio maana anasema vyake
Jaman wanaume si ndio mnapenda wanawake wanaojitegemea au?