Mapenzi ni hisia na si kuhudumia kwa kutoa hela

Maisha na afya

Senior Member
Joined
Feb 6, 2025
Posts
168
Reaction score
274
Mapenzi ni hisia na si hela; kama unatoa hela juwa ya kuwa unanunua huduma.

Kama mwanaume unayejitambua, jitahidi sana usiingie kwenye huo mfumo wa wadada wanaopenda kuhongwa ili kukupa huduma.

Kama anakupenda kweli, atatumia njia zozote zile ili wewe usiingie kwenye gharama.

Vinginevyo, endelea kuhonga, mapenzi ni hisia na si kuhudumia/ kutoa pesa.​
Hisia zitakuua bila kutoa sasampa kwa hawa watoto wa alfu mbili
 
Back
Top Bottom