realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 7,450
- 19,184
Ni kweli kabisa 😅Mapenzi ni hisia na si hela; kama unatoa hela juwa ya kuwa unanunua huduma.
Kama mwanaume unayejitambua, jitahidi sana usiingie kwenye huo mfumo wa wadada wanaopenda kuhongwa ili kukupa huduma.
Kama anakupenda kweli, atatumia njia zozote zile ili wewe usiingie kwenye gharama.
Vinginevyo, endelea kuhonga, mapenzi ni hisia na si kuhudumia/ kutoa pesa.