Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,558
- 64,966
Na ukiombwa hela, juwa haupendwi.Na wao wanasema wakipenda huwa hawaombi hela
Na ukiombwa hela, juwa haupendwi.Na wao wanasema wakipenda huwa hawaombi hela
Utamtoa wapi?Ndio hivyo, natafuta mwenye hisia tu
Ndio napambana kuwatafutaUtamtoa wapi?
Malaya hana hisia.Mapenzi ni hisia na si hela; kama unatoa hela juwa ya kuwa unanunua huduma.
Kama mwanaume unayejitambua, jitahidi sana usiingie kwenye huo mfumo wa wadada wanaopenda kuhongwa ili kukupa huduma.
Kama anakupenda kweli, atatumia njia zozote zile ili wewe usiingie kwenye gharama.
Vinginevyo, endelea kuhonga, mapenzi ni hisia na si kuhudumia/ kutoa pesa.
Mapenzi ya watoto wadogo, wale under 25 ndiyo yawe based on feelings.
Sisi watu wazima acha tuendelee kuuziana ili kila mtu kwa upande wake anufaike.
Mahusiano yamejaa utapeli, wengine wanachukulia kama ajiraNILIKWAMBIYA NAKUPENDA, SIKUSEMA NTAKUA NAKUPA PESA
Unapambana vipi kumpata mwenye mapenzi ya kweli?Uko bado kipindi cha pre-industrial, sasa hivi hisia ni roughly 5 percent, kilichobaki 95 percent ni money
No money no love...
Mapenzi ni biashara siku hizi
Sawa ngoja nami nikusaidie..Ndio napambana kuwatafuta
Kwahiyo pesa tatoa wapi babe?NILIKWAMBIYA NAKUPENDA, SIKUSEMA NTAKUA NAKUPA PESA
Kesi na ulemavu zinahusishwaje kwenye mapenzi? Exclude money exclude ur problems😎Wanamna hiyo, hawana msaada wowote kwenye maisha yako kama utakutana na changamoto za kimaisha, mfano kesi, ulemavu, ugonjwa n.k
Sihitaji msaada wao, tuburudishane tu inatosha.Wanamna hiyo, hawana msaada wowote kwenye maisha yako kama utakutana na changamoto za kimaisha, mfano kesi, ulemavu, ugonjwa n.k
NunuaHisia zitakuua bila kutoa sasampa kwa hawa watoto wa alfu mbili
Ukiambiwa achana na mwanamke masikini haimaanishi mbadala ni kudate na mwanamke tajiri. Akiwa anafanya shughuli halali zinazomudu mahitaji yake muhimu ni sawa. In fact, hata hao matajiri wenyewe wapo wachavhe sana kwenye uchumi wetuImenibidi nicheeke tu hakuna namna huku unaambiwa hivi kule unaambiwaa vile na kule wanasema vile,
yule anakwambua mwanamke akiwa masikini achana nae tafuta mwanamke tajiri yule anasema mwanaume akiwa masikini achana nae tafuta mwanaume tajiri
Ngoja niishie hapo