Mapenzi ni hisia na si kuhudumia kwa kutoa hela

Ni kweli kabisa ๐Ÿ˜…
 
siku hizi mapenzi yame geuzwa kitega uchumi watu wanatumia mapenzi kujipatia pesa hapo awali ilikuwa kwa wanawake tu ila sasa mpaka wanaume hivyo basi udanganyifu umeongezeka
NB kwa sasa kupata mwenza mwenye mapenzi ya kweli ni ngumu kama kupata samaki kwenye dimbwi la maji ya mvua ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
we ku.ma kweli! Mama yako huwa anafirwa kwa shingapi? Tena ukome kunitag usenge usenge we shoga mbwa! Msenge wewe!
Easy easy easy cool let it go seran ๐Ÿ˜ŠโœŒ๐Ÿพ
 
kummmmae mapenzi ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ
hayachagui umri aisee.. kila mtu ana mlio wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ