Ana hamu na ban, kaweka avatar tu,asubiri waamke wamlime ya ukweli.Baharia mbona kama umekula ban?
Aya wee jidai wajua kujibu. Sii u aona mwenzio Kelsea siku hizi wala mida ya wanga humuoni humu, anakumbatiwa tuu na kupewa majotro na mautamuMoto!!!! Mie mshkaki???