Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana

Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana

Sali sana kula, kunywa vizuri fua nguo zako pendeza kisha nenda kazini cheka na tabasmu na watu .piga kazi in order to make both ends meet rudi nyumbani kisha ulale ukisubiria siku za Kufa maana siku zetu ni chache.. mapenzi waachie wenye upepo nayo usilazimishe ku fit in kwenye ulimwengu wa mapenzi.
 
Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana

betrayed
Kuna wakati unapenda lakini bahati mbaya unayempenda hayupo tayari Kwa upendo Wala kuelewa hisia zako, inaumiza sana

Mbaya zaidi una cheatiwa na watu wa karibu inauma. Nimependa lakini naumia sana. Natamani itokee siku mpenzi wangu abadilike na kuelewa maana ya upendo japo alipe penzi letu thamani walau kidogo.

Mwenyezi Mungu naomba nizidishie uvumilivu
Jichunguze kwanza. mtu haachwi bila sababu na wakati mwingine anayekuacha anaweza asikwambia akigundua kuwa vijitabia ulivyonavyo huwezi kuviacha. kuna vijitabia ambavyo hufubaza mapenzi na hivyo mtu kuachwa kimya kimya au kupuuzwa

........ kama kuwa na gubu, wivu uliopitiliza, kutojali hoja za mwenzako, kujihesabia haki kila mnapopisha-unajiona uko sahihi na mwenzako ndiyo mwenye makosa hata kama ni wewe, kutojishusha, kutaka kushindana, kutojali hisia za mwenzako - mwenzako anaweza akakuambia anakuhitaji muwe pamoja muda fulani hata kwa company tu, nawe usijali ukajifanya uko bize kutafuta pesa, lazima atafute company nje, wakati mwingine si kwa ajili ya ngono lakini kuzungumza tu kurelease stress, na kwa kawaida jambo moja huzaa lingine, mwishowe akaishia kabisa maana hujali hisia zake.
 
Mapenzi ukiwa ni mtu asiekuwa na msimamo yatakupelekesha.....wiki mbili zilizopita mtoto wa mwenye nyumba alijileta nikala mzigo....baada ya kula mzigo nikataka kuchonga mzinga, manzi akaanza kuniletea mbwembwe yeye kwa akili yake alijua nimekufa nimeoza.....mimi nilichofanya nilifuta namba halafu nikakata kabisa shobo.......jana usiku nimetulia zangu gheto naona sms inaingia " mambo" naomba unikopeshe 2000 😁😁😁😁😁..........mimi nikajua tu huu mzigo unajileta wenyewe tena
 
Back
Top Bottom