Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana

Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana

Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana

Betrayed

Kuna wakati unapenda lakini bahati mbaya unayempenda hayupo tayari Kwa upendo wala kuelewa hisia zako, inaumiza sana.

Mbaya zaidi una cheatiwa na watu wa karibu inauma. Nimependa lakini naumia sana. Natamani itokee siku mpenzi wangu abadilike na kuelewa maana ya upendo japo alipe penzi letu thamani walau kidogo.

Mwenyezi Mungu naomba nizidishie uvumilivu
Baharia kanasa kwenye nyavu😂😂😂
 
Acheni kutudanganywa hizo conspiracy theory zenu.eti MAPENZI yanaumiza thibitishwa uwepo wake kama.wengine hatuamini kama kuna Mapenzi, yako wapi rangi3wake,harufu, Mapenzi ni hadith za kutunga hayapo. Mwenye picha au video au ushahidi
 
Back
Top Bottom