Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana

Mapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana

U baharia wako ukwapi sasa [emoji848][emoji848][emoji848]achana na mapenzi ni uongo tu
 
Nimewaelewa wote ila moyoni ninamachungu sana, soon....
 
Ukiona unatumia sana hela jua hupendwi, ukiona kabla ya game utafuta booster jua ndugu yangu wewe mapenzi yamekukataa.
 
Sasa kama hujaachwa unalia lia nini.....??? unataka kudekezwa na wewe,,,au kubembelezwa.. ni Matendo yapi hayo anakufanyia demu wako hadi unalia lia humu..

Mwanaume jifunze kuwa na Maamuzi magumu,,,.hasa pale unapoona dalili za amani yako kupotea,,,Kulalamika na kulia lia waachie mabinti.. Love is no longer for the Weak

Be a Man, Stay Taliban.
 
Back
Top Bottom