Copy!Man Down!
I Repeat Man Down!
Copy That?
Jichunguze kwanza. mtu haachwi bila sababu na wakati mwingine anayekuacha anaweza asikwambia akigundua kuwa vijitabia ulivyonavyo huwezi kuviacha. kuna vijitabia ambavyo hufubaza mapenzi na hivyo mtu kuachwa kimya kimya au kupuuzwaMapenzi ni kitu kizuri lakini yanaumiza sana
betrayed
Kuna wakati unapenda lakini bahati mbaya unayempenda hayupo tayari Kwa upendo Wala kuelewa hisia zako, inaumiza sana
Mbaya zaidi una cheatiwa na watu wa karibu inauma. Nimependa lakini naumia sana. Natamani itokee siku mpenzi wangu abadilike na kuelewa maana ya upendo japo alipe penzi letu thamani walau kidogo.
Mwenyezi Mungu naomba nizidishie uvumilivu
Matumizi mabaya ya mbususu hayoKitandani nipo na mito zaidi ya mitano,nahisi kazi ya mito unaijua[emoji23]
Mwanaume inatakiwa uwe jiwe la pembeni..sio jiwe la mchanga
Inakuwa mtu ameshakuingia mpaka kwenye nywele...Afu sijui kwann tunaumia