Mapenzi ni upuuzi

H
Hukuwa makini pengine dalili zote zlikuwa nazo wewe ukang'ang'ania. Sasa angefanyaje.
Hao wa kuwadanganya huwapi ng'oo wameshajanjaruka.
 
Sasa wewe so bado haujaoa mwenzio kakuzidi kete.
Tafuta mwingine uoe.
 
Hapo kati yenu mmoja alikua na kibunda zaidi na alikua tayari kumuoa muda huo huo. Ndio kilichokukuta.
Sure kaka mimi pia naona ndo ipo hivyo. Mwanamke kapima uwezo kaona yule nwingine ana uwezo zaidi.
huyu kapuku mwenzangu akapewa viazi amenye [emoji23]
 
Sure kaka mimi pia naona ndo ipo hivyo. Mwanamke kapima uwezo kaona yule nwingine ana uwezo zaidi.
huyu kapuku mwenzangu akapewa viazi amenye [emoji23]
Wanawake wakifikia umri wa miaka 25+ na yupo tayari kuolewa hata akupende vipi akitokea mtu yupo tayari kumuoa na kakizidi uwezo kiasi hawawazi mara mbili mbili.
 
Kuna mwanamke nilipanga kumuoa na tulipanga naye mambo mengi tu, tulipanga mwakani nifanye kweli kumuoa ila kumbe kuna mwenzangu sasa kapeleka posa na mwanamke kakubali kuolewa!
Inaonekana mwamba alikuzidi dau asee

Tuendelee kutafuta pesa tu mkuu
 
Mkono mtupu haulambwi waswahili walijisemea. Uzuri wa pale ukipiga unarudi kaunta unamwagilizia moyo ukiona mwingine unavuta unaenda kupiga tena mwendo unakuwa huo yaani
Yes mkuu mleta mada atakua amekupata vilivyo hasara roho pesa makaratasi akishamwagilia moyo anaenda kumwagilia na mbunya yako moja matata km asipotesheka anachukua nyingine au anaweza akapiga 3some au 4some au 5some ni yeye na pesa yake tu
 
Wenzako wanakutwa na makubwa yasiyoelezeka wewe unalia kuachwa kabla ya ndoa, ulitakiwa ufurahi maana ungelia huko mbele ya safari.
 
H

Hukuwa makini pengine dalili zote zlikuwa nazo wewe ukang'ang'ania. Sasa angefanyaje.
Hao wa kuwadanganya huwapi ng'oo wameshajanjaruka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa bana, wamejanjaruka toka lini? Wakati hadi wake za watu wandanganywa mkuu na wanaliwa vizuri tuu , kwel ww huwajui wanawake

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kupigwa matukio mazito zaidi ya mara 3 ilibidi nijifunze kuishi humu
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…