Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukuwa makini pengine dalili zote zlikuwa nazo wewe ukang'ang'ania. Sasa angefanyaje.Nimegundua kwa mara ya pili mapenzi ni upumbavu na upuuzi tu, yalishanikuta mara ya kwanza nikapuuzia na hii mara ya pili nathibitisha ni upuuzi tu!
Baada ya siku kadhaa kuwakejeleli watu hapa JF waliokuwa wakilialia kipuuzi kuhusu mapenzi na mimi yamenikuta aisee!
Unampenda mtu na kumjali na kumfanya mtu muhimu halafu anakuja kukugeuka kipuuzi! Muhimu ni kwamba nilishajiwekea kutomuamini 100% mwanamke na hii imesaidia kidogo. Ila nimeumia sana.
Kuna mwanamke nilipanga kumuoa na tulipanga naye mambo mengi tu, tulipanga mwakani nifanye kweli kumuoa ila kumbe kuna mwenzangu sasa kapeleka posa na mwanamke kakubali kuolewa!
Sasa najiuliza kule kumjali kote na kujifanya kunionesha ananipenda kupitiliza yale yote yalikua maigizo? Mpaka muda huu nashindwa kumtafakari huyu binti maana kanipotezea muda aisee.
Leo nasema kamwe sioi, sioi, sioi kamwe! Naanza kulipa kisasi sasa, nitawadanganya, kuwachezea na kuwapotezea na ninyi muda ili kulipa hiki kisasi. Nasema kataa ndoa, kataa ndoa!
Sure kaka mimi pia naona ndo ipo hivyo. Mwanamke kapima uwezo kaona yule nwingine ana uwezo zaidi.Hapo kati yenu mmoja alikua na kibunda zaidi na alikua tayari kumuoa muda huo huo. Ndio kilichokukuta.
Wanawake wakifikia umri wa miaka 25+ na yupo tayari kuolewa hata akupende vipi akitokea mtu yupo tayari kumuoa na kakizidi uwezo kiasi hawawazi mara mbili mbili.Sure kaka mimi pia naona ndo ipo hivyo. Mwanamke kapima uwezo kaona yule nwingine ana uwezo zaidi.
huyu kapuku mwenzangu akapewa viazi amenye [emoji23]
Inaonekana mwamba alikuzidi dau aseeKuna mwanamke nilipanga kumuoa na tulipanga naye mambo mengi tu, tulipanga mwakani nifanye kweli kumuoa ila kumbe kuna mwenzangu sasa kapeleka posa na mwanamke kakubali kuolewa!
Au aende Tip top Lambo barKaribu Riverside karibu na Zambezi Bar kabla haujafika Sheli ujipatie viburudisho na vipoozea vya moyo baada ya kuumwagilia moyo na nyama choma
Nitakuja tena baadae..
Yes mkuu hapo hapo ndio penyewe afike na hapo ajione dunia inavyozungukaAu aende Tip top Lambo bar
Atapata wa kila aina akitoka hapo mwepesi kabisaYes mkuu hapo hapo ndio penyewe afike na hapo ajione dunia inavyozunguka
Yeye tu na pesa yake asifike hapo akiwa mikono mitupu awe na umatemate wa kutoshaAtapata wa kila aina akitoka hapo mwepesi kabisa
Mkono mtupu haulambwi waswahili walijisemea. Uzuri wa pale ukipiga unarudi kaunta unamwagilizia moyo ukiona mwingine unavuta unaenda kupiga tena mwendo unakuwa huo yaaniYeye tu na pesa yake asifike hapo akiwa mikono mitupu awe na umatemate wa kutosha
Yes mkuu mleta mada atakua amekupata vilivyo hasara roho pesa makaratasi akishamwagilia moyo anaenda kumwagilia na mbunya yako moja matata km asipotesheka anachukua nyingine au anaweza akapiga 3some au 4some au 5some ni yeye na pesa yake tuMkono mtupu haulambwi waswahili walijisemea. Uzuri wa pale ukipiga unarudi kaunta unamwagilizia moyo ukiona mwingine unavuta unaenda kupiga tena mwendo unakuwa huo yaani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa bana, wamejanjaruka toka lini? Wakati hadi wake za watu wandanganywa mkuu na wanaliwa vizuri tuu , kwel ww huwajui wanawakeH
Hukuwa makini pengine dalili zote zlikuwa nazo wewe ukang'ang'ania. Sasa angefanyaje.
Hao wa kuwadanganya huwapi ng'oo wameshajanjaruka.