Mapenzi nimeyanyooshea mikono

Hooo hoo hooo hooo,,nimecheka kinigeria mkuu,maana umenikumbusha miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na manzi moja hivi tulipendana balaa,,sasa kuna siku nilimuudhi kwa kutopokea simu yake maana ilikuwa charge, sasa ugomvi ukawa mkubwa akihoji kwa nini nisingemtaarifu kabla ya kuweka simu charge? Nikamuomba msamaha akawa hataki akiamini namsaliti,,roho ikaniuma sana nami nikajiongeza nikaenda kula vyombo huku nikimtumia sms kuwa siwezi ishi bila wewe na sasa nakunywa sumu tu bora nife,na chanzo cha kifo changu ni wewe,dadeki baada ya masaa kadhaa simu kibao na msamaha juu,
Hakika mapenzi nyoko na sasa kila mtu life yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa lako ni moja unamuonesha unampenda kuliko unavyojipenda
Ni kweli.

Pia, anafahamu kuhusu kupendana.

Ila kama ulivyoniambia, first love linauma sana.

Love is stir crazy run by emotions rather than thinking, I think there is where people confuses, eti unapenda kwa akili, that isn't real love for me.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umeua Mkuu.

Unanikumbusha nikipiga vyombo vyangu huwa namsifu sana na kumpa sifa kedekede.
Kwasababu mimi ndio tatizo siwezi kufanya ulivyo mfanyia ila akizingua yeye na mimi nitatumia trick yako.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akiri yako ya kawaida tu, kwann alikukatalia usishike simu yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila hajui anatengeneza bomu kubwa..anakubadilisha hisia zako kali za mapenzi kuwa chuki

Mimi sasa hivi sina mapenzi ya dhati kwa kweliiiii tusogeze muda tu
 
Sasa dogo unataka kutufundisha sisi watu wazima? umelikoroga pambana na hali yako. Halafu nyie watoto wa sekondari siku hizi mmekuja na mitopiki ya kimama sana. Nataka kuacha kuingia JF mpaka shule zifunguliwe ndio narudi
[emoji38][emoji38][emoji38] Nimecheka sana. Nawashangaa wanao umizwa na mapenzi kiasi hicho. Mimi naumia masaa 6 tu nishasahau kila kitu maisha yanasonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe “ke”? Tuanzie hapo kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah, kwanini sikupewa moyo wako?

Ebu nijuze zile nyakati unaanza kupenda ilikuwaje? Demi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikaa nikafikiria nikaona mapenzi ni kitu cha kipuuzi sana, unapoteza nguvu zako kumpenda mtu kumbe na yeye anamuwaza mtu mwingine, unakuwa muwazi na mwaminifu kumbe mwenzako ana masiri kibao na hana mpango wa kuwa mwaminifu, mara mgombane kwa mambo ya kipuuzi..Nikaapa kuwa sitaruhusu kuumia zaidi ya siku moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
It was a good move and still it is.

Kama kuna kitu kilishaumiza wanadamu ni Mapenzi sijui kwanini yalikuwepo.

Wakati mwingine unaona bora ukafanye makazi kwenye milima mirefu ambapo hamna wanadamu, ni kuishi na wanyama tu.

Hivi ndio maana wenzetu wazungu huacha mali zao na vitu vya thamani kwa wanyama kuliko wanadamu.

Hii dunia ni pasua kichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipendi kuumizwa na kitu ambacho sitaweza kubadili. Sio katika mapenzi tu..hata mambo ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…