Leonardchama7
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 2,963
- 4,027
Hooo hoo hooo hooo,,nimecheka kinigeria mkuu,maana umenikumbusha miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na manzi moja hivi tulipendana balaa,,sasa kuna siku nilimuudhi kwa kutopokea simu yake maana ilikuwa charge, sasa ugomvi ukawa mkubwa akihoji kwa nini nisingemtaarifu kabla ya kuweka simu charge? Nikamuomba msamaha akawa hataki akiamini namsaliti,,roho ikaniuma sana nami nikajiongeza nikaenda kula vyombo huku nikimtumia sms kuwa siwezi ishi bila wewe na sasa nakunywa sumu tu bora nife,na chanzo cha kifo changu ni wewe,dadeki baada ya masaa kadhaa simu kibao na msamaha juu,
Hakika mapenzi nyoko na sasa kila mtu life yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mapenzi nyoko na sasa kila mtu life yake
Sent using Jamii Forums mobile app