Mapenzi nimeyanyooshea mikono

Mapenzi nimeyanyooshea mikono

Wanawake ndiyo wenye hiyo tabia.

Atashika simu yako weeee atakavyo na walivyo na wivu kama nyegere akiona jina la kike atalirudiarudia mara kumi kulisoma.


Sasa subiri ushike yake kwa bahati mbaya......ila mwanamke anaweza kuchat na mwanaume kwa week wasionane wala kugegedana ila sisi labda uwe boya boya maana week ni mbali.
Correct.

Sitagusa simu yake, nisije kufanya maamuzi ya ajabu.

Kikubwa heshima ipo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado haisaidii....wewe ndiye unamhitaji zaidi ya anavyokuhitaji?
I can tell you ananipenda sana.

I've arrived at such silly conclusion without supporting evidences.

I remember my love begged for me to give sensible reason why we should break up, I insisted we should and I had no care fare, i had been provided and wished me all the best.

Right now nimeona text yake nyingine anauliza naendeleaje.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muyomba muyomba utakomaa tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Dogo hapo unatafta kifo sasa, mwanamke akikuambia unataka mtu perfect maana yake analiwa sana.
Ushauri usirudi nyuma songa mbele nakuhakikishia ukivuuka hiki hakuna siku utaumia tena kwasababu ya mapenzi
Habari wana MMU.

Naomba nisimulie yaliyonipata siku ya jana Jumapili.

Nina mpenzi wangu tumekuwa kwenye mahusiano hata miezi minne haijafika. Kiukweli nilipenda haswa mpaka muda huu, naye nafahamu alinipenda sijajua baada ya hili tukio la jana.

Tukio lenyewe ni baada ya kuchukua simu yangu na kuperuzi baadhi ya apps. Sikupanick nikamuachia. Baada ya kumaliza, si nikashika ya kwake bhana wee, hapo ndio vagu lilipoanzia. Kawa mkali sikujali nikasoma normal texts, kuna mtu anapenda kuchat nae, nikaona jina lake.

Muda si mrefu akawa kanipora simu, nikaomba niangalie sms, akanionesha ila roho haikukubali nikajua tu kuna chats huwa anafuta. Bhasi na mimi nikapata hasira sana, kuona kwanini anakuwa mkali kushika simu yake. Mida ya jioni nikamjibu kwa hali ya kuonesha nimechoka. Nikatimuka zangu home.

Akaniandikia ujumbe wa jinsi ninavyotaka mtu perfect wakati ni ngumu. Akanitakia kila la kheri kwasababu nilimjibu kifupi. Sasa tangu natembea, nipo kwenye usafiri kurudi home, namuwaza yeye tu afu roho inauma nikikumbuka moments zetu. Yaani niliishiwa nguvu.

Nikapita duka la madawa nikanunua Valiums kwaajili ya kupata usingizi. Ndio nikalala. Nimeamka asubuhi nikiangalia juu chini ni yeye tu. Dah!

Uvumilivu umenishinda, yanini kuteseka hivi, nimemcheki muda si mrefu kwamba nilikosea nasubiria anijibu.

Kweli ukiona watu wanakunywa sumu, kujinyonga na kutoa uhai usishangae.

Mapenzi yana-run Dunia.

My take: Mliopo kwenye mahusiano, mjifunze kusikilizana na ku-reach resolutions kuliko kujiona wewe ndio upo sahihi.

Good Monday.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo hapo unatafta kifo sasa, mwanamke akikuambia unataka mtu perfect maana yake analiwa sana.
Ushauri usirudi nyuma songa mbele nakuhakikishia ukivuuka hiki hakuna siku utaumia tena kwasababu ya mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Perfect haikumaanisha ananicheat ni kwamba kuna vitu nilikuwa nataka aviache, akasema you can not change a person overnight.

Hivyo, alizani najaribu kumfanya awe perfect yaani asiwe na weakness yeyote, kitu ambacho nimegundua I was wrong.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakuja kufa we endelea kujifanya unajua kupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Sio najifanya. Ninapenda kweli.

Kufa kila mtu ana namna yake.

Love is wide and controversial.

Unajua Yesu alilia kwasababu ya mapenzi kwa John the Baptist alivyoona kaburi?

Mabaunsa, commandos, wafalme, waganga, hadi magaidi wanamwaga machozi wengine hadi kujiua because of love, seuse mimi?

Hujapata your soul mate na unaweza usimpate mpaka kufa kwako.

Relax.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mtu wa kwanza kumpenda alikua ananifanyia mafekeche kama hayo....hatukufikia kuoana
Ila mpaka leo sijawahi penda tena...long story
Ila usimuoneshe kama mtu unampenda atakufanyia vimbwangwa hujawahi ona
Now you're talking dada.

Nimefanya kosa kukiri kwake nilimkosea jana kwasababu nilikuwa na hasira?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom