"Mapenzi Siyo Mradi wa Maendeleo – Wote Tuwe Watu Wazima Kwenye Mahusiano"


Hayo yote tunayajua kwamba mnafanya na sisi yetu tunafanya. Mtoa mada anasema, kwa nini nyie mnataka spesho attention, kwamba huduma ziwe kwenu tuuu kama watoto wadogo. Nanyi pia mjiongeze ili pande zote zone zina wajibu wa kuchagiza penzi motomoto lenye vision. Iwe win win na si win lose situation.
Labda ndiyo ile ya kusema mwanamke hakui mpaka atakapomaliza mwendo wake. Maana yeye akiwa na umri wowote ule akizinguliwa anasema naenda zangu nyumbani. Wakati wanaume tunajua hapo ulipo ndiyo umefika
 

Moderator
Kila miaka inavyoenda JF inazidi kutumbukia shimoni
 

Wahenga walisema, ukiwa unaoga mtoni, halafu mmoja anachukua nguo zako na kuanza kukimbia. . . .
 

Bro wengine wanakuwa na shida kweli. Wasaidie tu. Hao wachache wenye tabia ya unyonyaji aliokataza Nyerere usiwaharibie wengine walio wengi wenye shida
 
Dada kumbe ndo unabwatuka kama hivi!

Ndiyo sababu unakulaga bann mwanzo mwisho.

chill out siss... humu ni burudani tu usiwe serious sana.
 
Wanawake wanaomba mpaka unaskia aibu
Nilikutana nae mmoja nikamuita sehemu tukae tupige story nilipewa mkeka ule nadaiwa kodi ya Nyumba na Mtoto Ada sijui naitoa wapi shuleni anadaiwa alafu anakwambia wanaume wa siku hizi mnakwepa majukumu nikabaki namuagalia alafu huyo hata kazi hana nilifuta number mda huo baada ya kuondoka
 
Nyie wa ndani amna tatizo Kuna hizi kenge unakutana nayo leo analeta waraka kama wa TECK
 
Nyie mlie, mgalegale mtajiju sio shida zetu..!!

Muhimu ukimkojolea mwanamke iwe umemuoa au kimasihara ni wajibu wako kumuhudumia..!!
Kama mnaona rahisi msitake wanawake, mnashindwa hata na simba anahudumia jike lake bila gubu….!!😏😹😹😹
 
cc;Mke wangu kupe akiwa na watoto na watoto wetu vibaka wakisubiri nife watwae kila kitu changudoa kiwe chao,waione kwenye kiambaza cha mlango.
 
Kuna wanawake ambao hawajishughulishi kufanya kazi yoyote ya uzalishaji. Kinachowaweka mjini ni kutype sms ya kuomba hela na kuifoward kwa masimp waliopo kwenye contact list yake.
Na kuna wanaume hawajishughulishi kazi yao kutype sms “My nimekumiss njoo unipe joto” na kufoward kwa wadada waliopo kwenye contact list yake…!!

Hapo vipi? 😹😹😹
 
Nani alikuhadithia kwamba Simba dume humuhudumia jike wake?
 
Na wewe acha kmuomba kitomboua ili usiombwe pesa, mbona simple tu wala huhitaji kutumia nguvu na kuumiza kichwa..!!
 
Tafuta pesa uache kulalamika wanawake wana vigroup vya mibuzi..!! 😹😹😹
 
Uanaume ni umiliki.
Kuanzia Wanawake, Wanyama na Vitu
Bora wewe umeona hilo, sasa nijihudumie nitakuheshimu vipi??

Yani mimi nikijihudumia huyo mwanaume hakuna rangi ataacha kuona…!! 👿😡

Nimekumbuka, Kwanza siwezi kuwa na furushi..!! 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…