"Mapenzi Siyo Mradi wa Maendeleo โ€“ Wote Tuwe Watu Wazima Kwenye Mahusiano"

Ndo nishaona au unamaanisha hawa simba wa kkoo makoro wizadi? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Siyo hao.Hao wapo Marrakech saa hizi wanaelekea Berkane.Simba dume huwa wanadeka na kuwindiwa na mademu wao.Na nyama ikiletwa,dume ndiyo huanza kula halafu ninyi akina kaflambute mnamalizia makongoro.
 
Hao watakua simba wa kenya ila hawa wa mikumi wanatunza jike..!!
 
Mahi acha kufua viboksa vilivyotoboka anza kujitafutia mwenyewe..!!
 
Hao watakua simba wa kenya ila hawa wa mikumi wanatunza jike..!!
Jaribu kuwa unaangalia vizuri hasa sehemu zao za nyuma mkiani.Usiangalie sana vichwani.Kuna wengine ni majike mabishoo huvaa au kushonea mawigi wakakupoteza maboya.
 
Tafuta pesa uache kulalamika wanawake wana vigroup vya mibuzi..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜๐Ÿ˜œ, nimecheka sana mie waalah!

Sijalalamika wala nini hapo, isipokuwa ninajua, hata ujipinde vipi kuhonga hapo ila 'title' utayowekwa na huyo hawara yako ni 'mabuzi' kama ulivyoeleza.

Sasa ku contribute kwenye penzi la namna hii ni sawa na kumwaga maji baharini, hakuna impact itayoonekana umefanya.
 
Na kuna wanaume hawajishughulishi kazi yao kutype sms โ€œMy nimekumiss njoo unipe jotoโ€ na kufoward kwa wadada waliopo kwenye contact list yakeโ€ฆ!!

Hapo vipi? [emoji81][emoji81][emoji81]
Shababi huyu
 
Jaribu kuwa unaangalia vizuri hasa sehemu zao za nyuma mkiani.Usiangalie sana vichwani.Kuna wengine ni majike mabishoo huvaa au kushonea mawigi wakakupoteza maboya.
Huna hoja, tunza unapokojoa pindi ukibanwa na haja..!!
 
Na kuna wanaume hawajishughulishi kazi yao kutype sms โ€œMy nimekumiss njoo unipe jotoโ€ na kufoward kwa wadada waliopo kwenye contact list yakeโ€ฆ!!

Hapo vipi? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Huo ujinga nishawahi kuufanya 'nikagonganisha mabehewa' ni uzembe.

Labda zile za 'mambo'... 'Nimekumiss' naweza chezesha kwenye group.

Lakini kutuma msg adhimu ya 'njoo unipe joto' kwenye group sithubutu, ninayajua madhara yake.
 
Muhimu kipapa unakitafuna hiyo akikuita buzi juu yake..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Muda mwingine tunapenda tu kuwaita vibuzi wala hatumaanishi, endeleeni kutoa huduma.
Kwanza mnabishana vipi na ubavu wenu? Ennhee ๐Ÿ˜น

Km uliweza kumpa mwanamke ubavu akafanyika mke itakuwa vipesa vya madafu jamani?? ๐Ÿฅน๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Huo ujinga nishawahi kuufanya 'nikagonganisha mabehewa' ni uzembe.

Labda zile za 'mambo'... 'Nimekumiss' naweza chezesha kwenye group.

Lakini kutuma msg adhimu ya 'njoo unipe joto' kwenye group sithubutu, ninayajua madhara yake.
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Sasa ukigonganisha tatizo liko wapi?

Kama una pesa watagombana na hakuna atakayekubali kuondoka, ila km apeche alolo subiria viboko..!! ๐Ÿคฃ
Siku hizi wanawake tuna umoja wa kushusha kipigo kwa wanaume wasio na pesa..!!
 
Unaeza kuta mdada mzuri, ana shepu, ila ana mabalaa ya kipesa si kitoto, ukichunguza vizuri, unaeza kuta huenda baba mtoto, na wanaume wengine wanamkimbia uyo mdada sababu ya tabia zake za hovyo za vizinga boaz mwalwayo
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Sasa ukigonganisha tatizo liko wapi?

Kama una pesa watagombana na hakuna atakayekubali kuondoka, ila km apeche alolo subiria viboko..!! ๐Ÿคฃ
Siku hizi wanawake tuna umoja wa kushusha kipigo kwa wanaume wasio na pesa..!!
Dah, yaani mnanikunyuga, mnaniwasha!
Nawafanyia dissappearence ya kisayansi kuepusha adha na udhalilishaji.
 
Na kuna wanaume hawajishughulishi kazi yao kutype sms โ€œMy nimekumiss njoo unipe jotoโ€ na kufoward kwa wadada waliopo kwenye contact list yakeโ€ฆ!!

Hapo vipi? ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Jihukumu wewe mwenyewe kwa matendo yako bila kuangalia upande mwingine unafanya nini?.

Two similar wrongs doesn't make it right.
 
So wewe una genitalia za kiume hivyo huwezi heshimu mwanamume.!!?

Umetisha Mdau.
 
Na wewe acha kmuomba kitomboua ili usiombwe pesa, mbona simple tu wala huhitaji kutumia nguvu na kuumiza kichwa..!!
Wanawake na hivyo ni waswahili na Mimi abadani siwezi date type hiyo piga uwa. Niliyenaye ni diplomat, ana exposure anajua jinsi ya kubehave akiwa na mwanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ