Mstarabu kiona
Member
- Mar 5, 2019
- 8
- 10
| Upo | unasemaje
|
π€π€π€π€π€π€π€π€π€Mimi nadhani kila mtu aamini anachoamini basi, kama unaona wa mtandaoni hawakufai tafuta wa mtaani, ukiona mtaani hawakufai tafuta mtandaoni, Kanisani, sijui Msikitni ,Club, Hotelini ama hata barabarani
Mimi mnanifaa, kuja hapa tujianzie maisha, mapenzi kama mchicha huota popote..!Mimi nadhani kila mtu aamini anachoamini basi, kama unaona wa mtandaoni hawakufai tafuta wa mtaani, ukiona mtaani hawakufai tafuta mtandaoni, Kanisani, sijui Msikitni ,Club, Hotelini ama hata barabarani
Hapo kwenye rangi nyekundu umebug...Mimi nadhani kila mtu aamini anachoamini basi, kama unaona wa mtandaoni hawakufai tafuta wa mtaani, ukiona mtaani hawakufai tafuta mtandaoni, Kanisani, sijui Msikitni ,Club, Hotelini ama hata barabaraniMimi nadhani kila mtu aamini anachoamini basi, kama unaona wa mtandaoni hawakufai tafuta wa mtaani, ukiona mtaani hawakufai tafuta mtandaoni, Kanisani, sijui Msikitni ,Club, Hotelini ama hata barabarani
Hata yangu n yako zitaanzia mtandaoni.Ndoa nyingi za sikuhizi makutano yalikuwa mitandaoni .
Kabisaa na ndoa tutafungia jfHata yangu n yako zitaanzia mtandaoni.
Na watoto tutazalia jfKabisaa na ndoa tutafungia jf
Tupo araundi hapaKwani mtandaoni ndio wapi wajameni? Ni mbali sana? Nataka nikajipatie mume na mimi
Ila siku hizi unajitahidi kuuchuna aiseeTupo araundi hapa