Mstarabu kiona
Member
- Mar 5, 2019
- 8
- 10
Binadamu ni walele walioko mitandaoni na walioko majumbani au mtaani ni walele tu. Naona kuna wanaume au wanawake maneno yanawatoka kusema ety ""siowezii kuwa na mahusiano ya kimapenzii na mtu tuliekutana mtandaoni"". Huko ni kutokujiaminii maana ata wewe unaejifanya unazo Akili na kujitambua Pia kuna watu mtandaoni wapo kama wewe wanajifanya wanazo Akili na kujitambua hivyo ukizalau watu wa mtandaoni tambua wewe mwenyewe unazalauliwa,, usiwe na fikra zilizo lala
📱💏💑👪👭👬
📱💏💑👪👭👬