MAPENZI YA KUKUTANA MTANDAONI

MAPENZI YA KUKUTANA MTANDAONI

Joined
Mar 5, 2019
Posts
8
Reaction score
10
Binadamu ni walele walioko mitandaoni na walioko majumbani au mtaani ni walele tu. Naona kuna wanaume au wanawake maneno yanawatoka kusema ety ""siowezii kuwa na mahusiano ya kimapenzii na mtu tuliekutana mtandaoni"". Huko ni kutokujiaminii maana ata wewe unaejifanya unazo Akili na kujitambua Pia kuna watu mtandaoni wapo kama wewe wanajifanya wanazo Akili na kujitambua hivyo ukizalau watu wa mtandaoni tambua wewe mwenyewe unazalauliwa,, usiwe na fikra zilizo lala

📱💏💑👪👭👬
 
Kuna mmoja kila siku povu linamtoka, sijui watu wa mitandaoni walimfanya nini aisee kuna tatizo mahali.
 
Mimi nadhani kila mtu aamini anachoamini basi, kama unaona wa mtandaoni hawakufai tafuta wa mtaani, ukiona mtaani hawakufai tafuta mtandaoni, Kanisani, sijui Msikitni ,Club, Hotelini ama hata barabarani
 
👤👤👤👤👤👤👤👤👤
 
Mimi mnanifaa, kuja hapa tujianzie maisha, mapenzi kama mchicha huota popote..!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nadhani kila mtu aamini anachoamini basi, kama unaona wa mtandaoni hawakufai tafuta wa mtaani, ukiona mtaani hawakufai tafuta mtandaoni, Kanisani, sijui Msikitni ,Club, Hotelini ama hata barabarani
Hapo kwenye rangi nyekundu umebug...Mimi nadhani kila mtu aamini anachoamini basi, kama unaona wa mtandaoni hawakufai tafuta wa mtaani, ukiona mtaani hawakufai tafuta mtandaoni, Kanisani, sijui Msikitni ,Club, Hotelini ama hata barabarani
 
Nimesha wamiminia mbegu wa FB na Whatsapp sasa nasaka mrembo wakummiminia mbegu humu JF

wali nazi maharage nazi
 
Back
Top Bottom