Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Sisi hatunaga Hela
Hakuna mwana ke ana HelaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu kuna ambao kweli hawana, hawana means za kuwaingizia kipato. Bnafsi hao nawaelewa, ila mtu ana kipato na unaombwa nauli, anyway vijana muendelee kulisongesha. Nilifanya hivyo once wakati nadate mtoto niliyetaka kumuoa....haikufanikiwa!
Banaa hawa wanajiendekeza tu, kuna kademu kalikuwa ka beki tatu kalikuwa ka manzi changu walikuwa wakati mwingine hawakalipi, ila popote nilipokuwa kaliweza mudi gharama za kunifata na wakati mwingine kanalipia Lodge.. haya madada ya siku hizi majambazi yaliyojificha nyuma ya kuvuli kwamba majukumu flani flani ni ya Me
 
Ukitaka usiumize kichwa, angalia mazingira yanayofikika kirahisi. Binafsi hata kuolewa nahisi ni muhimu kuangalia, sio unaishi Kagera unaolewa na kidume kwao mbeyq, makazi yenu ni arusha...naona inakuwa ngumu sana.
Unajua mapenz Wew au unayasikia unakutana na mtu huko anakielewa kichaa chako vzuri kwanini usikubali ivoivo tutajuana mbele ya safari😭😭
 
Nafikiri hujanielewa, nilimaanisha ile mtu kudanga ili apewe mtaji, tena anapewa na mtu asiyempenda, lengo likiwa kumvulia kyupi ili apate atakacho.

Kuhusu mpenzi wako ni sahihi
 
Unajua mapenz Wew au unayasikia unakutana na mtu huko anakielewa kichaa chako vzuri kwanini usikubali ivoivo tutajuana mbele ya safari😭😭
Mwisho wa siku ni kuumia tu manake sasa kuonana ni mara moja kwa mwaka, hata kuwekwa kizembe na watu baki ni rahisi manake nyege zikikaba koo unashindwa kujizuia.
 
Date your size hutopata shida. Ukiona mwanamke kasema babe nakuja na the wings of kilimanjaro usimchukulie pouwa uwezo huo anao ndo maana anakukumbusha majukumu yako.

Aisee umenikumbusha kaka wa moshi alitakaga nipandisha nyeunge! At this? Nikalishe takle for good 12hrs kisa nimfate mwanaume? Nilimwambia akawasafirishe kwenye nyehunge wachaga wenzie sio mimi.

Kuna mmoja nilijilipia wakati narudi akanirudishia pesa yangu......Miaka imepita

Oh thank God am done with african men. Ingawa hao wacha nilowahi kuwa nao sikuwa kujuta kivile.......anyway
 
Nikope tena 😁😁😁 nakumwaga natafuta mchumba mpya sehem ambayo najua nauli ni buku tatu kufika kazi kwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…