Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Mahusiano yangu na wadada wa sikuhiz yakidumu wiki mbili nafanya sherehe, namtongoza leo, kesho ananiomba hela, nikimwita geto aje aichukue, ghetto haji, na mimi hela situmi, mahusiano yanakufa hapohapo Joannah Nuzulati mamamzungu Amehlo Leejay49 missyrose
Shida na nyinyi mmezidi kuomba mbususu mapema kwa nini hamjifunzi kwa wazee yaani mpaka ndoa ndio wanaomba tunda.
 
Wala hujaniudhi ni maoni yako mpendwa hakuna mapenzi yasiyokuwa na kusaidiana pale inapohitajika yaani niogope kumuomba mpenzi wangu pesa ya msingi kwa kuogopa nitaonekana nauza hiyo kwangu haipo hivyo kwani pesa ya kupewa kwangu haiendi bure matunda yataonekana na mhusika.
Tatizo sio ninyi kuomba hela, wanaume tunapenda kuwapa nyie ubavu wetu hela, ila tatizo wengi wenu nyie wanawake mnatuomba hela kwa nia ovu ya kutukomoa, na sio kwamba mna shida kweli na hiyo hela..

Mfano nimekutongoza, ukaniona mimi sio mwanaume ambaye ni type yako, automatically unaniweka kwenye category ya kuwa mtu wa kukupa hela bila kunipa papuchi, au hata ukija kunikubalia uwe ushanichuna sana, hapa mwanaume lazma uhisi unatumika.

Na sikuhiz wanawake wengi wenu mna mioyo jiwe, mioyo ya kupenda hamna, mko kimaslahi zaidi, mkimwona mwanaume Anayetaka kuwaoa, mnawaza mtafaidika vipi kipesa, badala ya kuwaza ku-spend rest of your life na huyo mwanaume Nuzulati
 
Ukiona una date na mademu wanaomba nauli, jua una date na malaya bado au machokolaa wa kimapenzi.. Mwanamke anae shindwa hata jihudumia nauli huyo hana maana kabisa
Ila bwana, mapenzi kitu cha hovyo sana. Unadate na mtu yupo Mwanza wakati mji uliopo umejaa wanawake kibao, ugharamike nauli mwanza-dar wakati kitu kikiwa ubungo hapo ni mwendo wa sms moja tu ghetto linanukia unyunyu wa mtoto.
 
Back
Top Bottom