Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Badala ya kupoteza hela kwa mtu na kubembeleza juu. Unaingia tinder unalipia demu mkali, unamaliza kazi, unafanya shughuli nyingine za msingi. Eidha ni relationship au unalipia huduma ni kujua moja.
 
Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo.

Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima awe mtumwa katika hayo mahusiano; atateseka kiuchumi na kifikra katika kumfurahisha mwenzake ili asije kumkimbia.

Hayo tunasema, sio mahusiano yenye afya kwa binadamu; kwa sababu pale utakaposhindwa kutimiza mahitaji ya upande wa pili, lazima uhusiano utetereke.

kwa mantiki hiyo, kama mahusiano yatakuwa na afya hakutakuwa na kuuziana hisia; kama kukulipia nauli ndio uje, kukununulia kitu fulani ndio unipe penzi, au mpaka nikuonge kitu fulani ndio ujenge hisia kuwa na mwenzako n.k tunasema huo ni ubatili katika mahusiano.

Naamini kama utakuwa na hisia na mwenzako, utagharamika kivyako ili muweze kuwa na mwenzako, bila kumpa mwenzio gharama akugharamikie.

Wanaume tushtuke, usisafirishe mzigo; kama ana mapenzi na wewe atakuja mwenyewe ata kwa kukopa.

Tofauti na hapo, tutakuwa tunauziana; ndio maana usafirishaji wa mizigo unakuwepo.
Inaitwa BAGGAGE ALLOWANCE
 
Mzigo ukimpa konda lazima uwe na wasiwasi na huenda usifike, sawa na kutuma nauli kwa mwanamke ambaye hata hajakuelewa unataka aje gheto au guest flan utaliwa tu. Km unamjali mpenzio hawezi kudai nauli shida wapo wagalatia wao wanajua kupaka vumbi la kongo na kusimamia shoo hawajui kutoa maintanance fee lazima wadaiwe nauli.
 
Badala ya kupoteza hela kwa mtu na kubembeleza juu. Unaingia tinder unalipia demu mkali, unamaliza kazi, unafanya shughuli nyingine za msingi. Eidha ni relationship au unalipia huduma ni kujua moja.
Online inasaidia sana kwa mahusiano ya muda mfupi
 
Back
Top Bottom