mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
Hiyo haina shida, lakini ile hali ya kuchakarika ya kuonyesha na wewe una mchango fulani, huwa inamaana sana kwenye mahusiano.
Kawaida unatuma nauli nakuletea na zawadii siji mikono mitupu hapo ndio mwisho wa uwezi wangu