Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Nilikubali kuubeba nikampa nauli ila akaamua kupita nayo bila hurumaKwa Afrika mzigo wa mahusiano unabebwa na mwanaume😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikubali kuubeba nikampa nauli ila akaamua kupita nayo bila hurumaKwa Afrika mzigo wa mahusiano unabebwa na mwanaume😂
🙏💪👌💯Daah!💞✔️umenena kitu kizito mno halafu Short and clearMapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo.
Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima awe mtumwa katika hayo mahusiano; atateseka kiuchumi na kifikra katika kumfurahisha mwenzake ili asije kumkimbia.
Hayo tunasema, sio mahusiano yenye afya kwa binadamu; kwa sababu pale utakaposhindwa kutimiza mahitaji ya upande wa pili, lazima uhusiano utetereke.
kwa mantiki hiyo, kama mahusiano yatakuwa na afya hakutakuwa na kuuziana hisia; kama kukulipia nauli ndio uje, kukununulia kitu fulani ndio unipe penzi, au mpaka nikuonge kitu fulani ndio ujenge hisia kuwa na mwenzako n.k tunasema huo ni ubatili katika mahusiano.
Naamini kama utakuwa na hisia na mwenzako, utagharamika kivyako ili muweze kuwa na mwenzako, bila kumpa mwenzio gharama akugharamikie.
Wanaume tushtuke, usisafirishe mzigo; kama ana mapenzi na wewe atakuja mwenyewe ata kwa kukopa.
Tofauti na hapo, tutakuwa tunauziana; ndio maana usafirishaji wa mizigo unakuwepo.
Yaani unapiga kizinga jamaa hata siku akigundua anajua pesa yake imetenda jambo😁😁huruma jamani 😂
Endelea na moyo huo huo wa kutumia nauli yako, ipo siku utakutana na mtu sahihi, na utafurahia hayo mahusiano mapyaLabda nipate wazimuu [emoji1787][emoji1787]
Atume na ya kutolea au sio?Acha ubahili tuma nauli
Wala hujaniudhi ni maoni yako mpendwa hakuna mapenzi yasiyokuwa na kusaidiana pale inapohitajika yaani niogope kumuomba mpenzi wangu pesa ya msingi kwa kuogopa nitaonekana nauza hiyo kwangu haipo hivyo kwani pesa ya kupewa kwangu haiendi bure matunda yataonekana na mhusika.Huwa naona aibu...uchi ukupatie mtaji, bora mume wako skufanyie hayo.
Sorry kwa lugha ya kuudhi rafiki yangu...
Hiyo haina shida, lakini ile hali ya kuchakarika ya kuonyesha na wewe una mchango fulani, huwa inamaana sana kwenye mahusiano.Ukiona mwanamke katoaa pesa ake ujue utailipaa zaidii ya hiyo
Kama my wangu aliniomba mia2 ya vocha sasa hivi analipaa zaidii ya hiyoo[emoji38][emoji38]
ha ha haunatuma hela ya kusafirisha mzigo, anafika anakuambia anaumwa kumbe mzigo ulishapakuliwa njiani huko 😂
🤣🤣🤣🤦🤦🤦pole Sana,Ila shukuru ukute Mungu alikuepusha na HIV na UTI suguNishawahi kujilipia nauli yangu mara 1 na mpk leo ile hela inaniumaa
Nilitumia karibu elfu70 nafika morogoro napiga simu haipokelewi sms hazijibiwii….. mpk nafika daslama mtu hapokeii [emoji24][emoji24]sikuonana nae mpk nikarudi nilipotoka tena kwa nauli yangu
Yule bwegeee ….. ni mwanaume wa ajabu sana sijawahi onaaa[emoji1787]
Kwa kweli sitorudiaa tenaaa hata kama nauli ni mia2 utatuma tu
Kama ni hivyo, yeye amtumie nauli mwanaume wakeKuja tu ni kukujali nyie hamjuagi tu..mana mtu anaacha mambo yake anakufuata (ukute wewe ya kwako yanaendelea kama duka unafungua kazini unaenda) sasa kwa nini msishee hasara
Ni kweli unakuwa umegeuzwa ATMMwanaume ukishaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamke Basi jiandae tu kugharamia kila kitu.Hakuna namna.
kitombo ni part ya mahusiano, ila msifanye kama chakula . hata anae toka kisalawe hadi boko nae kila ukimuita ni kutombwer tu ?Unamtoaa mtu mkoa kwa mkoa anavuka mikoa 7 anavuka bahari aje kwako mpige story tu wewe utakuwaa bwege [emoji1787][emoji1787]
Wewe ni wale wale nauli na vizinga kausha damu 😀 😀 😀Na kwa nini Mwanamke umfate,Raha ya Mwanamke jamaa afunge safari kukufata harafu kuna vizinga Mwanamke ukiomba unajishusha cheo piga kizinga kikitikii una duka la nguo au kiwanja😜😬😁
muone 😂🤣🤣🤣👋
💰💰💰
Mmhh noma sana japo shida zipo lakini tusi draw conclusion kwa wote.Ukiona una date na mademu wanaomba nauli, jua una date na malaya bado au machokolaa wa kimapenzi.. Mwanamke anae shindwa hata jihudumia nauli huyo hana maana kabisa
Kizinga napiga sio nauli wala vocha 🤨😁😁Wewe ni wale wale nauli na vizinga kausha damu 😀 😀 😀