Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Sikuwa najua chochote kama hivyo alisema tuonane mimi nilikuwa na viakibaa vyangu vya poshoo ya uchaguzii wa Magufuli nikamfuattaa tena nikampa taarifa akasema poa njoo

Nashangaa tu nafikaa Moro mtu hapokeii simu mpk naingiaa Dar ikabidi nimtafute best angu wa Dar nikalala kwake siku mbili napiga hapokei nikageuza akakaa siku mbili akanitafutaa et ananiambia simu yake ilikuwa mbovu haiwezii kupokelekaa wala kujibu chochote daaaaaaa
Pole sana 😂😂
Kwahiyo posho ikaishia kuwa ya kutembelea bure aisee

Ila wanawake mkipenda 🤗hamshindwagi kitu
 
Nayajua ila kwenye ishu ya safari hawakosi nauli kikubwa awe anakukubali. Kama hana abaki tu maana Wana saundi nyingi sana, unatuma nauli anakuambia kuna test mara presentation hawezi kuja na hawezi kurudisha hela.

Hahahahaha sasa kwanini u date na wazinguajii wanaokula nauli sema na wewe ni Kabahili tu
 
achana na level hiyo ya mapenzi. kama una date na demu ambae anakosa hata laki moja au 50 hamna kitu hapo.. sio kila mtu anapo muita mpenzi wake basi ni kumtomber , wakati mwingine ni story tu mtu ume mkumbuka mwenzako .. tafuteni hela muwe msaada kwa wapenzi wao msiwe kama virushi vya taka taka banaaa.. msione tunashida sana na kumer
Story si upige na washkaji hapo kitaa?
 
achana na level hiyo ya mapenzi. kama una date na demu ambae anakosa hata laki moja au 50 hamna kitu hapo.. sio kila mtu anapo muita mpenzi wake basi ni kumtomber , wakati mwingine ni story tu mtu ume mkumbuka mwenzako .. tafuteni hela muwe msaada kwa wapenzi wao msiwe kama virushi vya taka taka banaaa.. msione tunashida sana na kumer
Wanawake wanaojimudu wengi hawako romantic, wako busy, age zimeenda, ni single mothers, wana vitambi nk. Ndio maana tunatuma nauli kwa pisi za chuo.
 
Wanawake wanaojimudu wengi hawako romantic, wako busy, age zimeenda, ni single mothers, wana vitambi nk. Ndio maana tunatuma nauli kwa pisi za chuo.
demu anae shindwa kuingia mfukoni kutoa hata 50 ya nauli ? kifurushi tu hicho.. hao mademu wa chuo nimetomber sana .. ila wanajiongeza mzee
 
Back
Top Bottom