missyrose
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 3,014
- 7,361
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanaume anajua majukumu yake. Ila msio maomba omba kwa kila jambo kama watu tegemezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwanaume anajua majukumu yake. Ila msio maomba omba kwa kila jambo kama watu tegemezi
[emoji23] Enzi hizo hela ngumu
kwaiyo kila ukiitwa unachezea tu kitombooer? hamnaga mambo mengine zairi ya kutiana
Wanawake wanaojimudu wengi hawako romantic, wako busy, age zimeenda, ni single mothers, wana vitambi nk. Ndio maana tunatuma nauli kwa pisi za chuo.
Huyo atakuwa na mapenzi na kikobaAache kutafuta hela ya kikoba atafute hela ya kuja kwako😂😂😂
Kuja tu ni kukujali nyie hamjuagi tu..mana mtu anaacha mambo yake anakufuata (ukute wewe ya kwako yanaendelea kama duka unafungua kazini unaenda) sasa kwa nini msishee hasaraSwali ni kwanini asichangie ata kidogo basi ili angalau kuonyesha ile hali ya kujali
Naam mkuuMwanaume ukishaingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamke Basi jiandae tu kugharamia kila kitu.Hakuna namna.
😂😂😂 Pole Sana najua inauma SanaMwenyewe nilifanyaa kwa mapenzii kumuonea huruma ila alichonifanyiaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bora niende vinginevyo aje na nauli yakeIla saivi unatoaa nauli
huruma jamani 😂piga kizinga kikitikii una duka la nguo au kiwanja😜😬😁
Kwa Afrika mzigo wa mahusiano unabebwa na mwanaume😂Akakope hata mikopo kausha damu ndio aje nimpe rejesho na riba yake 😂
Dayana ulikula nauli yangu ipo siku yatatimia 😑 kuku wewe
SawasawaHii wiki inayoanza kesho haiishi lazima nitume nauli aisee baridi imekua kali huku kanda ya kaskazini 😀
Nuzulati 🤗Kama hujawai kula nauli dislike hii comment😎
Kweli kabisaKwa Afrika mzigo wa mahusiano unabebwa na mwanaume😂
🤣🤣Si huwa tunaita madem mzigo?
Huwa naona aibu...uchi ukupatie mtaji, bora mume wako skufanyie hayo.Na kwa nini Mwanamke umfate,Raha ya Mwanamke jamaa afunge safari kukufata harafu kuna vizinga Mwanamke ukiomba unajishusha cheo piga kizinga kikitikii una duka la nguo au kiwanja😜😬😁