Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Ukishaombwa nauri ujue udael na Demu choka mbaya and hawakosi magonjwa ya zinaa.. Kimbia nduki... na siku hizi wanaomba nauli ndogo buku mbili hadi tatu... Usitume tulia zako piga moyo konde save your money
 
Sasa demu ambae anashindwa kujihudumia kwa nauli, huo ni mzigo kama mizigo mingine tuu, usitegemee akawa na tija na msaada . Hata kama hayupo vizuri mwenye timamu ataonesha nae anaweza fanya jamboo..

Inategemeana na financial ya mtu huwezi mwambia mtu anaekaa kwao hana chanzo chochote cha kupata pesa halafu useme ajilipie nauli ya elfu 50 labda kama unataka aombee wazazi wake nauli uje umtomb….
 
Nishawahi kujilipia nauli yangu mara 1 na mpk leo ile hela inaniumaa

Nilitumia karibu elfu70 nafika morogoro napiga simu haipokelewi sms hazijibiwii….. mpk nafika daslama mtu hapokeii [emoji24][emoji24]sikuonana nae mpk nikarudi nilipotoka tena kwa nauli yangu

Yule bwegeee ….. ni mwanaume wa ajabu sana sijawahi onaaa[emoji1787]

Kwa kweli sitorudiaa tenaaa hata kama nauli ni mia2 utatuma tu
Ilikuwa ajali kazini,usichoke; mtafutaye huwa hachoki
 
Inategemeana na financial ya mtu huwezi mwambia mtu anaekaa kwao hana chanzo chochote cha kupata pesa halafu useme ajilipie nauli ya elfu 50 labda kama unataka aombee wazazi wake nauli uje umtomb….
achana na level hiyo ya mapenzi. kama una date na demu ambae anakosa hata laki moja au 50 hamna kitu hapo.. sio kila mtu anapo muita mpenzi wake basi ni kumtomber , wakati mwingine ni story tu mtu ume mkumbuka mwenzako .. tafuteni hela muwe msaada kwa wapenzi wao msiwe kama virushi vya taka taka banaaa.. msione tunashida sana na kumer
 
Hukuwa unayajua hayo yote kabla ya safari?

Sikuwa najua chochote kama hivyo alisema tuonane mimi nilikuwa na viakibaa vyangu vya poshoo ya uchaguzii wa Magufuli nikamfuattaa tena nikampa taarifa akasema poa njoo

Nashangaa tu nafikaa Moro mtu hapokeii simu mpk naingiaa Dar ikabidi nimtafute best angu wa Dar nikalala kwake siku mbili napiga hapokei nikageuza akakaa siku mbili akanitafutaa et ananiambia simu yake ilikuwa mbovu haiwezii kupokelekaa wala kujibu chochote daaaaaaa
 
Nishawahi kujilipia nauli yangu mara 1 na mpk leo ile hela inaniumaa

Nilitumia karibu elfu70 nafika morogoro napiga simu haipokelewi sms hazijibiwii….. mpk nafika daslama mtu hapokeii [emoji24][emoji24]sikuonana nae mpk nikarudi nilipotoka tena kwa nauli yangu

Yule bwegeee ….. ni mwanaume wa ajabu sana sijawahi onaaa[emoji1787]

Kwa kweli sitorudiaa tenaaa hata kama nauli ni mia2 utatuma tu
Pole..badae akasemaje?
 
achana na level hiyo ya mapenzi. kama una date na demu ambae anakosa hata laki moja au 50 hamna kitu hapo.. sio kila mtu anapo muita mpenzi wake basi ni kumtomber , wakati mwingine ni story tu mtu ume mkumbuka mwenzako .. tafuteni hela muwe msaada kwa wapenzi wao msiwe kama virushi vya taka taka banaaa.. msione tunashida sana na kumer

[emoji23][emoji23][emoji23] kwaiyo unafikiri kama wewe unakutanaga na wadada wenye kazi zao zinazowaingizia pesa unafikirii ni TZ yote wanawake wana hizo hela

Ndio maana kuna wanawake ambao wanaolewa wanatokea kwao hawana chochote zaidii ya nguo walizonunuliwa na wazazi wao
 
Inategemeanaaa na umbali unapoishii sio nauli elfu 50 halafu unataka mwanachuo ajilipiee nauli unajua elfu 50 ni kubwa kwa maisha ya chuo yalivyo magumu
Nayajua ila kwenye ishu ya safari hawakosi nauli kikubwa awe anakukubali. Kama hana abaki tu maana Wana saundi nyingi sana, unatuma nauli anakuambia kuna test mara presentation hawezi kuja na hawezi kurudisha hela.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwaiyo unafikiri kama wewe unakutanaga na wadada wenye kazi zao zinazowaingizia pesa unafikirii ni TZ yote wanawake wana hizo hela

Ndio maana kuna wanawake ambao wanaolewa wanatokea kwao hawana chochote zaidii ya nguo walizonunuliwa na wazazi wao
Mwanamke anaempenda mwanaume, atakuwa na kitu cha kufanya kwenye hayo mahusiano hata kujitoa kwa mambo madogo madogo.
 
Back
Top Bottom