Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Nishawahi kujilipia nauli yangu mara 1 na mpk leo ile hela inaniumaa

Nilitumia karibu elfu70 nafika morogoro napiga simu haipokelewi sms hazijibiwii….. mpk nafika daslama mtu hapokeii [emoji24][emoji24]sikuonana nae mpk nikarudi nilipotoka tena kwa nauli yangu

Yule bwegeee ….. ni mwanaume wa ajabu sana sijawahi onaaa[emoji1787]

Kwa kweli sitorudiaa tenaaa hata kama nauli ni mia2 utatuma tu
 
Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo.

Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima awe mtumwa katika hayo mahusiano; atateseka kiuchumi na kifikra katika kumfurahisha mwenzake ili asije kumkimbia.

Hayo tunasema, sio mahusiano yenye afya kwa binadamu; kwa sababu pale utakaposhindwa kutimiza mahitaji ya upande wa pili, lazima uhusiano utetereke.

kwa mantiki hiyo, kama mahusiano yatakuwa na afya hakutakuwa na kuuziana hisia; kama kukulipia nauli ndio uje, kukununulia kitu fulani ndio unipe penzi, au mpaka nikuonge kitu fulani ndio ujenge hisia kuwa na mwenzako n.k tunasema huo ni ubatili katika mahusiano.

Naamini kama utakuwa na hisia na mwenzako, utagharamika kivyako ili muweze kuwa na mwenzako, bila kumpa mwenzio gharama akugharamikie.

Wanaume tushtuke, usisafirishe mzigo; kama ana mapenzi na wewe atakuja mwenyewe ata kwa kukopa.

Tofauti na hapo, tutakuwa tunauziana; ndio maana usafirishaji wa mizigo unakuwepo.
Uko sahihi kabisa! Ushauri wako unafaa sana, hususan kwa vijana wetu. Kila upande hauna budi kuchangia gharama za kujenga uhusiano wenye afya na unaonufaisha pande zote mbili. Kongole!
 
Nishawahi kujilipia nauli yangu mara 1 na mpk leo ile hela inaniumaa

Nilitumia karibu elfu70 nafika morogoro napiga simu haipokelewi sms hazijibiwii….. mpk nafika daslama mtu hapokeii [emoji24][emoji24]sikuonana nae mpk nikarudi nilipotoka tena kwa nauli yangu

Yule bwegeee ….. ni mwanaume wa ajabu sana sijawahi onaaa[emoji1787]

Kwa kweli sitorudiaa tenaaa hata kama nauli ni mia2 utatuma tu
Hakika wwe ni Mama mzungu una roho ya kizungu huyo mwamba alikua na mazingira mabovu hakutaka uyajue. Mnapatikana wapi wa hivi? Kumbe bado mpo
 
Back
Top Bottom