Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Online inasaidia sana kwa mahusiano ya muda mfupi
Hapana sio mahusiano. Jiulize point ya relationship ni nini beside sex? Nothing zaidi ya kutumia gharama kuhudumia mtu. Hivyo kama point ya mahusiano mostly ni sex. Basi Tinder inamaliza hiyo kazi. Ni kupiga na kusepa.
 
'Sex' utapata, ila 'love' hutopata; kinachofanya watu wawe kwenye mahusiano ni 'sex & love', hapa ndipo pagumu.
 
Naamini kama utakuwa na hisia na mwenzako, utagharamika kivyako ili muweze kuwa na mwenzako, bila kumpa mwenzio gharama akugharamikie.
Hiyo nitumie nauli ni biashara, watu wa hivyo wanakusanya pesa nyingi kwa siku, anaweza kuahidi mamia ya watu na asiende kwa mtu hata mmoja, na wengi wako facebook
 
Wala hujaniudhi ni maoni yako mpendwa hakuna mapenzi yasiyokuwa na kusaidiana pale inapohitajika yaani niogope kumuomba mpenzi wangu pesa ya msingi kwa kuogopa nitaonekana nauza hiyo kwangu haipo hivyo kwani pesa ya kupewa kwangu haiendi bure matunda yataonekana na mhusika.
Huwa sielewi kwa Nini imekuwa inaonekana kumuomba mpenzi wako pesa ni kosa, kosa ni kuombaomba hela kwa wanaume wasio wako Maana unatengeneza ukaribu usio na lazima...Binafsi Siwezi acha kumuomba hela mpenzi wangu yaani siwezi,...na uzuri huwa Naongea na mpenzi wangu wazi kàbisa Kama hawezi basi Ila siwezi omba wanaume wa mwenzangu nimuache mwanaume wangu
 
Dah nimekumbuka Jana imeniuma sana elfu tisa yangu ,na Bado akaja geto akagoma kunipea..[emoji3][emoji3]
 
Mapenz ni uwazimuu unavyonza mate hata harufu ya kutoswaki huihisiii.....ukute jamaa kaja na pipi Kali I yaaani mwake mwakeee
 
Huwa sielewi kwa Nini imekuwa inaonekana kumuomba mpenzi wako pesa ni kosa, kosa ni kuombaomba hela kwa wanaume wasio wako Maana unatengeneza ukaribu usio na lazima...Binafsi Siwezi acha kumuomba hela mpenzi wangu yaani siwezi,...na uzuri huwa Naongea na mpenzi wangu wazi kàbisa Kama hawezi basi Ila siwezi omba wanaume wa mwenzangu nimuache mwanaume wangu
Asante dear umeelewa comment yangu 😍
 
Back
Top Bottom