Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mtatuwekea ugumu sana msifanye hivyoNgoja nimtume kamanda wa kikosi Cha mizinga Amehlo aje awape officers cadet course
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtatuwekea ugumu sana msifanye hivyoNgoja nimtume kamanda wa kikosi Cha mizinga Amehlo aje awape officers cadet course
Imekuaje tena bwana ERaha tupate wote alafu nitume nauli; mapenzi ya win win, pande zote hujali hisia za mwenzake na si kukomoana; situmi nauli ng'oo 😀 😀
We utakuwa uombi nauli, ebu njoo hapa kwa nauli yakoImekuaje tena bwana E
....
Mara hii unaona ubahili...dem ushamchokaa tafuta jiran
Ndio yule white[emoji16]...ulikua unamsifiaga enzi hizoNi sura tu na umbo, kwingine hana maarifa, ni kujiegesha tu ili mashine iingie; kwa sawa huu nani atoe hiyo kitu 😀 😀 kwa huduma hiyo
Yeye hana shida yuko 50/50; kwa sasa ni mzazi mwenzangu, atalipa ya kuja ila ya kurudi nampatiaNdio yule white[emoji16]...ulikua unamsifiaga enzi hizo
Wengi tu mbona,hapa wajifanya wanapiga tu mikwara hawana lolote,wanatuma na za kula njianiKumbe kuna watu bado wanatuma nauli!?[emoji1]
🤣🤣🤣🤣Wameomba chonde usiwaharibie warembo waoChap kwa haraka wataisoma number mbona
😭😭😭😅😅 nyie ni wezi tu
Lakini mkoa unaoishi si una wadada tena warembo balaa, ya nini kujipa gharama zisizo na msjngi. Ukiwaza kwa kina unaona kabisa sio sawa basi tu ndio mapenzi ni kitu cha hovyo sana.Wengine tulishatuma mkuu🤣🤣🤣
Mwingine unakuta yuko mkoa na ni mwajiriwa...nafasi yake ni weekend tu utafanyaje asiporuka na mwewe Ijumaa na Monday morning arejee na mwewe wa kwanza?😂😂😂
Si ndio anakufuata ikiwa ulisafiri baba?Lakini mkoa unaoishi si una wadada tena warembo balaa, ya nini kujipa gharama zisizo na msjngi. Ukiwaza kwa kina unaona kabisa sio sawa basi tu ndio mapenzi ni kitu cha hovyo sana.
Aaah sawa mkuu!Si ndio anakufuata ikiwa ulisafiri baba?
Siongelei wa kuokota bali kitu yako safi😂
Iko hivi, wanawake hawauzi uchi na wala hawatoi bure, sasa akili kichwani mwako.Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo.
Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima awe mtumwa katika hayo mahusiano; atateseka kiuchumi na kifikra katika kumfurahisha mwenzake ili asije kumkimbia.
Hayo tunasema, sio mahusiano yenye afya kwa binadamu; kwa sababu pale utakaposhindwa kutimiza mahitaji ya upande wa pili, lazima uhusiano utetereke.
kwa mantiki hiyo, kama mahusiano yatakuwa na afya hakutakuwa na kuuziana hisia; kama kukulipia nauli ndio uje, kukununulia kitu fulani ndio unipe penzi, au mpaka nikuonge kitu fulani ndio ujenge hisia kuwa na mwenzako n.k tunasema huo ni ubatili katika mahusiano.
Naamini kama utakuwa na hisia na mwenzako, utagharamika kivyako ili muweze kuwa na mwenzako, bila kumpa mwenzio gharama akugharamikie.
Wanaume tushtuke, usisafirishe mzigo; kama ana mapenzi na wewe atakuja mwenyewe ata kwa kukopa.
Tofauti na hapo, tutakuwa tunauziana; ndio maana usafirishaji wa mizigo unakuwepo.
SAA nyingine wala si mapenzi, waganga wa kienyeji wateja wao wakubwa ni wanawake.Lakini mkoa unaoishi si una wadada tena warembo balaa, ya nini kujipa gharama zisizo na msjngi. Ukiwaza kwa kina unaona kabisa sio sawa basi tu ndio mapenzi ni kitu cha hovyo sana.
Ni swala la muda tu mbona🤣🤣🤣🤣Wameomba chonde usiwaharibie warembo wao
Haha mkuu umeua bendi.SAA nyingine wala si mapenzi, waganga wa kienyeji wateja wao wakubwa ni wanawake.
Ukimkuta mwanaume kwa Mganga wa kienyeji ni mambo matatu tu, biashara haziendi sawa, ana kesi mahakamani au mambo ya kisiasa kujiweka sawa na issue za makazini basi.
Hee hee mwanaume gani akuhonge laki 2 na hajakukula, tuongee uhalisia, 95% ya vijana wa kiume (miaka 18-35) bando tu la kuingia jf, mpaka wakope songesha, labda uhongwe iyo hela na vibabu au waume za watu wenye 40 years plus AmehloLabda 200k na kuendelea
Ndio mshangazi mimi nahongwa na vizee 😀😀😀Hee hee mwanaume gani akuhonge laki 2 na hajakukula, tuongee uhalisia, 95% ya vijana wa kiume (miaka 18-35) bando tu la kuingia jf, mpaka wakope songesha, labda uhongwe iyo hela na vibabu au waume za watu wenye 40 years plus Amehlo