Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Raha tupate wote alafu nitume nauli; mapenzi ya win win, pande zote hujali hisia za mwenzake na si kukomoana; situmi nauli ng'oo 😀 😀
Imekuaje tena bwana E
....
Mara hii unaona ubahili...dem ushamchokaa tafuta jiran
 
Wengine tulishatuma mkuu🤣🤣🤣
Mwingine unakuta yuko mkoa na ni mwajiriwa...nafasi yake ni weekend tu utafanyaje asiporuka na mwewe Ijumaa na Monday morning arejee na mwewe wa kwanza?😂😂😂
Lakini mkoa unaoishi si una wadada tena warembo balaa, ya nini kujipa gharama zisizo na msjngi. Ukiwaza kwa kina unaona kabisa sio sawa basi tu ndio mapenzi ni kitu cha hovyo sana.
 
Lakini mkoa unaoishi si una wadada tena warembo balaa, ya nini kujipa gharama zisizo na msjngi. Ukiwaza kwa kina unaona kabisa sio sawa basi tu ndio mapenzi ni kitu cha hovyo sana.
Si ndio anakufuata ikiwa ulisafiri baba?
Siongelei wa kuokota bali kitu yako safi😂
 
Nyie ndio wale mnaotapeliwa facebook na madume yanayofungua account yanaweka picha ya kike na wewe unaingia kingi ukijua ni Mwanamke kweli.
 
Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo.

Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima awe mtumwa katika hayo mahusiano; atateseka kiuchumi na kifikra katika kumfurahisha mwenzake ili asije kumkimbia.

Hayo tunasema, sio mahusiano yenye afya kwa binadamu; kwa sababu pale utakaposhindwa kutimiza mahitaji ya upande wa pili, lazima uhusiano utetereke.

kwa mantiki hiyo, kama mahusiano yatakuwa na afya hakutakuwa na kuuziana hisia; kama kukulipia nauli ndio uje, kukununulia kitu fulani ndio unipe penzi, au mpaka nikuonge kitu fulani ndio ujenge hisia kuwa na mwenzako n.k tunasema huo ni ubatili katika mahusiano.

Naamini kama utakuwa na hisia na mwenzako, utagharamika kivyako ili muweze kuwa na mwenzako, bila kumpa mwenzio gharama akugharamikie.

Wanaume tushtuke, usisafirishe mzigo; kama ana mapenzi na wewe atakuja mwenyewe ata kwa kukopa.

Tofauti na hapo, tutakuwa tunauziana; ndio maana usafirishaji wa mizigo unakuwepo.
Iko hivi, wanawake hawauzi uchi na wala hawatoi bure, sasa akili kichwani mwako.

Piga punyeto au jitombeshe mwenyewe.
 
Lakini mkoa unaoishi si una wadada tena warembo balaa, ya nini kujipa gharama zisizo na msjngi. Ukiwaza kwa kina unaona kabisa sio sawa basi tu ndio mapenzi ni kitu cha hovyo sana.
SAA nyingine wala si mapenzi, waganga wa kienyeji wateja wao wakubwa ni wanawake.

Ukimkuta mwanaume kwa Mganga wa kienyeji ni mambo matatu tu, biashara haziendi sawa, ana kesi mahakamani au mambo ya kisiasa kujiweka sawa na issue za makazini basi.
 
Haha mkuu umeua bendi.
 
Labda 200k na kuendelea
Hee hee mwanaume gani akuhonge laki 2 na hajakukula, tuongee uhalisia, 95% ya vijana wa kiume (miaka 18-35) bando tu la kuingia jf, mpaka wakope songesha, labda uhongwe iyo hela na vibabu au waume za watu wenye 40 years plus Amehlo
 
Ndio mshangazi mimi nahongwa na vizee 😀😀😀
 
Back
Top Bottom