Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Mfano namtumia mdada ambaye nimemtongoza jana tsh elf 50, anakula iyo hela, na ghetto haji, mbaya zaidi akishapokea iyo hela anakulima block, hayo maumivu yake ni mara mbili, ya kupoteza hela, na ya kufanywa boya Amehlo
Sasa we unakutana na wadangaji 😀😀
 
Mimi kuna mmoja nilimtumia buku 2 ya mwendokasi chaajabu alivyoipokea tu akanipiga block, nilimshangaa sana

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yakutoleaa hukutuma

Hivi kweli unatuma buku 2 hata mimi siji ila sikublock najiunga bando halafu nazima watsup naingia Yutubu kucheck biaindi ze sini
 

Sawa… kwaiyo watume nauli kwa tusio na kazi
 

Nahisi wanaume mmetofautiana hapo

Kuna wenzio ukijilipia nauli wanaona wamedharaulikaa
 

Sasa Beki tatu si tayari muajiliwa huyo hivi unajua wadada wanaokaa kwao unakutana na mama mkoloni akikupa hela ya sokoni yaani ana hakikisha Chenchi haibakii

Huyo dada wa kazi ana akiba ya mshahara Usifananishe na mtu ambae amekaa tu nyumbni anaosha vyombo na kupiga dekii Hakuna anachoingiza mpk ajiombeleze kwa rafiki zake hata wamuungee bando achati na wewe usiempa hata vochaa
 
Mwanamke nae anaebweta tu ndani kama msukule mmh😐😐
 
Hahahahaha ndio maana nimekwambia familia zimetofautiana

Kuna wadada hawaruhusiwi kwenda kupanga nnje labda awe ameajiliwa au amejiajili ana pesa zake bila hivyo kutoka kwako hapo ni ndoa tu ikutoe kwenu
sasa atasafiri vipi kwenda mkoa mwingine kubanjuliwa ? na kama wa ndani tu ataonekana wapi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…