Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa we unakutana na wadangaji 😀😀Mfano namtumia mdada ambaye nimemtongoza jana tsh elf 50, anakula iyo hela, na ghetto haji, mbaya zaidi akishapokea iyo hela anakulima block, hayo maumivu yake ni mara mbili, ya kupoteza hela, na ya kufanywa boya Amehlo
50 si unamla Malaya first class kabisa? Mnakwama wapi vijana?Mfano namtumia mdada ambaye nimemtongoza jana tsh elf 50, anakula iyo hela, na ghetto haji, mbaya zaidi akishapokea iyo hela anakulima block, hayo maumivu yake ni mara mbili, ya kupoteza hela, na ya kufanywa boya Amehlo
Mimi kuna mmoja nilimtumia buku 2 ya mwendokasi chaajabu alivyoipokea tu akanipiga block, nilimshangaa sana
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Kama ni mwanaume wa morogoro kwa hilo sishangai
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
kama anatokea kwao basi umuoe kabisa, lakini kama ni hawa ambao wanajitegemea kwenye maisha anaomba nauo automatically pure ni malaya mkuu.
kwanza mwanamke anae jitambua hawezi kuomba nauli anajigharamia mwenyewe na hapo ndipo thamani yake inaonekana tofauti na yule anayeomba. ukiomba nauli manake wewe ni cheap bidhaa cheap haina thamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
kikubwa ufike. Muyajenge hata mkitaka hata kununua Gulfstream 650 ... ila muache kuwa matonyaaa.. unashindwa jikatie tiketi ya go and return ? alafu ukifanya hivyo sie wanaume tunakukubali sana utaona ma miamala ya kutosha maana mtu atana una akili nzuri na ya kimaendeleo.. ila sio mnaanza tu hata nauli ya KISBO inakutoa kando [emoji28][emoji28]
Inategemea mnaishije kuna hatua huulizwi unakuta miamala. Mie nazungumzia mapenzi machanga machanga mtu anapo amua kuwa omba ombaNahisi wanaume mmetofautiana hapo
Kuna wenzio ukijilipia nauli wanaona wamedharaulikaa
Banaa hawa wanajiendekeza tu, kuna kademu kalikuwa ka beki tatu kalikuwa ka manzi changu walikuwa wakati mwingine hawakalipi, ila popote nilipokuwa kaliweza mudi gharama za kunifata na wakati mwingine kanalipia Lodge.. haya madada ya siku hizi majambazi yaliyojificha nyuma ya kuvuli kwamba majukumu flani flani ni ya Me
Mwanamke nae anaebweta tu ndani kama msukule mmh😐😐Sasa Beki tatu si tayari muajiliwa huyo hivi unajua wadada wanaokaa kwao unakutana na mama mkoloni akikupa hela ya sokoni yaani ana hakikisha Chenchi haibakii
Huyo dada wa kazi ana akiba ya mshahara Usifananishe na mtu ambae amekaa tu nyumbni anaosha vyombo na kupiga dekii Hakuna anachoingiza mpk ajiombeleze kwa rafiki zake hata wamuungee bando achati na wewe usiempa hata vochaa
Anakusaidia kitafunio asubuhi usihangaikeMademu wa mwanza sitak kuwasikia ukiwatumia nauli wanakuja na mihogo
Na akiamua kutoka kama anazo utafutahi kweli kweli
Inategemea mnaishije kuna hatua huulizwi unakuta miamala. Mie nazungumzia mapenzi machanga machanga mtu anapo amua kuwa omba omba
Ukiona una date na mademu wanaomba nauli, jua una date na malaya bado au machokolaa wa kimapenzi.. Mwanamke anae shindwa hata jihudumia nauli huyo hana maana kabisa
Mwanamke nae anaebweta tu ndani kama msukule mmh[emoji52][emoji52]
sasa atasafiri vipi kwenda mkoa mwingine kubanjuliwa ? na kama wa ndani tu ataonekana wapi ?Hahahahaha ndio maana nimekwambia familia zimetofautiana
Kuna wadada hawaruhusiwi kwenda kupanga nnje labda awe ameajiliwa au amejiajili ana pesa zake bila hivyo kutoka kwako hapo ni ndoa tu ikutoe kwenu