mamamzungu
JF-Expert Member
- Nov 17, 2019
- 2,554
- 4,271
sasa atasafiri vipi kwenda mkoa mwingine kubanjuliwa ? na kama wa ndani tu ataonekana wapi ?
hamna achange hizo ndogo ndogo.. aoneshe nia kwanzaa sio tunaanza tu nitume nauli hapana aisee 😅😅Wewe tuma hela njia za kutoka ni nyingi mbonaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe muwezeshee utashangaa tu kafika yeye mwenyewe atakueleza katoka vipi kwao
hamna achange hizo ndogo ndogo.. aoneshe nia kwanzaa sio tunaanza tu nitume nauli hapana aisee [emoji28][emoji28]
hata tukiwa nae miezi sita nakuwa nimeisha muelewa natuma tu.. ila mwezi wiki siku mbili tatu.. huyoo hapaanaaMpnz wako wa miaka 2 unamjua In and out lazima utumee tu
Hahahahah kwa hili swala afya ya akili unawezaje kuikwepa lazima upigwe ndipo upige mzigo kusafirisha watu hawakomi ata kidogo wap husema wanapalilia tofauti na apo watu wanatengeneza mahusiano amba wapo nayo kwenye ndoto nasio kuyaishi katka malengoMapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo.
Tofauti na hapo, tutakuwa tunauziana; ndio maana usafirishaji wa mizigo unakuwepo.
😆😆😆😂Kuliko umtumie demu nauli bora umfanyie booking..
😄😄😄Saivi Hawa maadui wa wiki kuwakwepa ni kazi Chuki na Nyege haviwezi kutuacha salama😂Nimetuma juzi 20 kwa demu wangu kabisa ila mpaka saivi nikituma sms asijibiwi nikipiga simu inahita tu, ila sina wasi wasi nae namjuwa atakuja tu ntakula kama alivyo niambia kabla sijatuma nauli one night stand mtoto white shepu ya kutosha ana mate matamu uyo 😋 k inabana
Naona nishakuwa sasa maana mawazo ya kuoa yananijia.[emoji1][emoji1][emoji1]Saivi Hawa maadui wa wiki kuwakwepa ni kazi Chuki na Nyege haviwezi kutuacha salama[emoji23]
Kila laheri katka kupata mke inategemea na huyo muolewaji ni wa aina gani🤣🤣tuNaona nishakuwa sasa maana mawazo ya kuoa yananijia.
Ni kubahatisha tu mkuuKila laheri katka kupata mke inategemea na huyo muolewaji ni wa aina gani[emoji1787][emoji1787]tu
Mkuu achana naeNimetuma zaid ya mara moja kwa binti fulani ila sijui ni kweli au nadharia mara ya kwanza namtumia 50k akasema kashapanda gari sijataka uthibitisho, punde after muda akanitext amepata call ndugu yake gani sijui kapata ajali mbaya ikabidi ageuzie njiani, sijataka uthibitisho akaja nambia uyo ndugu yake alifariki. Ikapita mida tena nikamtumia tena 50k napo pia akanambia keshakata ticket sikutaka uthibitisho ikafika muda ivo ivo akanambia kapata call ya msiba aunt yake sijui kapata ajali kafariki inabidi arudi home
Sijataka uthibitisho nikasema mtu asingizie kifo kisa 50k tena two times mmh tatizo muda nitamrukia uko uko gafla au siku nitamtumia tena
Hakika inabidi nimkaushie asee khaaMkuu achana nae
Noma sana, asiwe anasingizia matatizo.Nimetuma zaid ya mara moja kwa binti fulani ila sijui ni kweli au nadharia mara ya kwanza namtumia 50k akasema kashapanda gari sijataka uthibitisho, punde after muda akanitext amepata call ndugu yake gani sijui kapata ajali mbaya ikabidi ageuzie njiani, sijataka uthibitisho akaja nambia uyo ndugu yake alifariki. Ikapita mida tena nikamtumia tena 50k napo pia akanambia keshakata ticket sikutaka uthibitisho ikafika muda ivo ivo akanambia kapata call ya msiba aunt yake sijui kapata ajali kafariki inabidi arudi home
Sijataka uthibitisho nikasema mtu asingizie kifo kisa 50k tena two times mmh tatizo muda nitamrukia uko uko gafla au siku nitamtumia tena
Ninabakigi tu kujiuliza ni kweli au nadharia why yatokee siku yupo safariniNoma sana, asiwe anasingizia matatizo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],huo ni utapeliNinabakigi tu kujiuliza ni kweli au nadharia why yatokee siku yupo safarini
Unajuwa natamani sana kukula we mwanamke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],huo ni utapeli