Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

Wewe tuma hela njia za kutoka ni nyingi mbonaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Wewe muwezeshee utashangaa tu kafika yeye mwenyewe atakueleza katoka vipi kwao
hamna achange hizo ndogo ndogo.. aoneshe nia kwanzaa sio tunaanza tu nitume nauli hapana aisee 😅😅
 
Demu kama huyo hafai,kwani hata ukiumwa atataka umtumie hela ya nauli aje kukutizama na baada ya kukutizama ataomba hela ya matumizi, kwa kifupi type hizo mala zote wanakuwaga malaya.
 
Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo.

Tofauti na hapo, tutakuwa tunauziana; ndio maana usafirishaji wa mizigo unakuwepo.
Hahahahah kwa hili swala afya ya akili unawezaje kuikwepa lazima upigwe ndipo upige mzigo kusafirisha watu hawakomi ata kidogo wap husema wanapalilia tofauti na apo watu wanatengeneza mahusiano amba wapo nayo kwenye ndoto nasio kuyaishi katka malengo
 
Nimetuma juzi 20 kwa demu wangu kabisa ila mpaka saivi nikituma sms azijibiwi nikipiga simu inahita tu, ila sina wasi wasi nae namjuwa atakuja tu ntakula kama alivyo niambia kabla sijatuma nauli one night stand mtoto white shepu ya kutosha ana mate matamu uyo [emoji39] k inabana
 
Nimetuma juzi 20 kwa demu wangu kabisa ila mpaka saivi nikituma sms asijibiwi nikipiga simu inahita tu, ila sina wasi wasi nae namjuwa atakuja tu ntakula kama alivyo niambia kabla sijatuma nauli one night stand mtoto white shepu ya kutosha ana mate matamu uyo 😋 k inabana
😄😄😄Saivi Hawa maadui wa wiki kuwakwepa ni kazi Chuki na Nyege haviwezi kutuacha salama😂
 
Nimetuma zaid ya mara moja kwa binti fulani ila sijui ni kweli au nadharia mara ya kwanza namtumia 50k akasema kashapanda gari sijataka uthibitisho, punde after muda akanitext amepata call ndugu yake gani sijui kapata ajali mbaya ikabidi ageuzie njiani, sijataka uthibitisho akaja nambia uyo ndugu yake alifariki. Ikapita mida tena nikamtumia tena 50k napo pia akanambia keshakata ticket sikutaka uthibitisho ikafika muda ivo ivo akanambia kapata call ya msiba aunt yake sijui kapata ajali kafariki inabidi arudi home

Sijataka uthibitisho nikasema mtu asingizie kifo kisa 50k tena two times mmh tatizo muda nitamrukia uko uko gafla au siku nitamtumia tena
 
Mkuu achana nae
 
Noma sana, asiwe anasingizia matatizo.
 
Attachments

  • Screenshot_20231021-232731-1.jpg
    Screenshot_20231021-232731-1.jpg
    40 KB · Views: 3
Back
Top Bottom