Mapenzi ya kweli tuwaachie watoto wadogo tu

🤣🤣🤣🫵M hata sijaelewa,,, shida hafafanui ilikuwaje, anakuja tu huku kulia lia hapo watu tuelewe nini sasa....Au sawa aliye elewa nan humu aseme ilikuaje 🤔🤔🤔
 
Umri wako?
 
Niachwe bila sababu? Hii haija kaa sawa kabisa.. Au kisa ni kuwa nice guy?
tangu lini nice guy akaonewa huruma na mwanamke, seems umechelewa sana kuingia kwenye ulimwengu wa mapenzi ilitakiwa uanze tangu primary uko ukifika kwenye mid 20s unakua unachukulia wanawake easy sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…