Labda kama sikujui 😀Nakuomba kwa pm tafadhali maana nimeshindwa kuimaster hiyo art, huenda utanielekeza namna bora ya kuimaster
Yaani u r right aisee. Kuna namna kabisa naona kuna watu nawa punish na i feel is not good nachowafanyia maana hakuna mtu perfect.Avoidant mode activated, Ukiendelea kudate utaumiza watu which is not cute kwakweli.
Mimi nilishaga master the art of being alone, Huumizi mtu wala huumizwi na mtu.
Wakakupiga pin,na wakijua ni yako watakupiga tena.Hakuna mbaya hata, nahisi waliamua kunikomoa tu first born. Wanajua nyota yangu kali sana
Aah weee mapenzi yapoNaona kabisa hapa ni kheri niachane na mapenzi..
Nitapoteza muda, na energy bure wakati umri umeshanitupa mkono.
Sioni na sitambui kama kuna watu wakweli katika hii dunia iliyo chafuka
Naona kabisa, ni kheri nifanye mchakato nizalishe mtu, nipate majukumu alafu maisha mengine yaendelee
Mambo ya kuoa na kuwa na familia kwa kweli Hapana.
It's too much, siwezi drama tena.
Wakati umefika as a man inapaswa tuachane na games of attention and pleasure. Ni muda mwafaka wa kufuata malengo yako ya maisha.
Love is a scam.